Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu? Ameenda mbali zaidi na...
25 Reactions
39 Replies
4K Views
Kesho Agosti 8, 2021 Kiongozi wa Chama, Ndugu @zittokabwe atazungumza na Taifa kuanzia Saa 5:00—5:30 Asubuhi.
10 Reactions
31 Replies
3K Views
TCRA NA UCSAF WAPEWA MWEZI MMOJA KUJA NA MAPENDEKEZO KUTATUA CHANGAMOTO ZA MWINGILIANO WA MAWASILIANO MIPAKANI Na Mwandishi wetu, HAI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Wataalam wanasemaga kuwa ktk dunia ya sasa vitu vya kuogopa sana ni vitatu. 1. Serikali ya mababvu. 2. Teknolojia. 3. Mungu. Hapa chini ni Kitila Mkumbo akitema madini ya dhahabu kipindi akiwa...
5 Reactions
28 Replies
45K Views
Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu 1) Maji 2) Umeme 3) Barabara 4) Afya 5) Uongozi 6) Biashara 7) Katiba 8) Chakula 9) Ajira 10) Elimu
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukimsaidia mtu yeyote, taasisi, kampuni au kikundi fulani kutenda uhalifu/uovu, nawe unakuwa mhalifu. Raia mwema ni yule anayesaidia kuzuia kosa kutendeka. Najaribu kutafakari mambo kadhaa: 1)...
5 Reactions
7 Replies
906 Views
Ni wiki chache tu tangu serikali ianzishe kodi ya miamala ya simu kwa madai kwamba mapato yatakayotokana na tozo hizo yataenda kufungua barabara za mjini na vijijini. Lakini juzi, waziri huyo...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Akifafanua kwa waandishi wa habari mjini Njombe,Wakili Mligo amesema katiba ni mbovu kwasababu Rais analindwa na katiba inayompa mamlaka yakutokulazimika kutendea kazi ushauri wowote kwa...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
J3 tuna jambo letu. J4 pia tuna jambo letu kulingana na maelekezo ya wizara ya afya. Hata hivyo wengi wetu tuliipigania hatua hii, wakati SSH na mwendazake wakifanya porojo zao kuhusu ugonjwa...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
JK atakiwa kuomba radhi MZOZO MAHAKAMA YA KADHI na Agnes Mlundachuma Tanzania Daima SUALA la uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi nchini linazidi kupanuka, na kwa mara ya kwanza tangu...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Hivi kulikuwa na ulazima gani wa Membe kufanya hili wakati wahusika ni akina MWENGU wa TTB na jamaa wa wizara ya UTALIII? MICHUZI BLOG
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Kikwete aandamwa Marekani na Mwandishi Wetu Tanzania Daima USWAHIBA ambao Rais Jakaya Kikwete aliujenga na Watanzania wanaoshi nje ya nchi, sasa unaelekea kuanza kuyeyuka. Hali hii...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
An objective and fair electoral commission, which is acceptable to all parties is an essential pillar in the evolving democratic culture on the African continent. The composition of the electoral...
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Tumeambiwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa kuwa chanjo ya Jonhsonjonhson ni super shot. Maana yake unadungwa shot moja na unakuwa umepata kinga. Wanaoinadi wanatuchanya zaidi kwa kutoa maelezo...
5 Reactions
93 Replies
8K Views
Ukiona chama cha siasa kimeishiwa wajenga hoja kwa muda mfupi lazima ujiulize sababu. CCM imejimaliza kwa sababu zifuatazo; 1. Imejiwekea utaratibu kwamba, Mwenye kusema Ni yule tu mwenye cheo...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii orodha nimepewa leo Msibani Manyoni,haya ni mauaji yame endelea mfulilizo Manyoni. Hili sio jambo dogo hata kidogo,nimemtaka IGP Sirro kuchukua hatua sahihi,ikiwa ni pamoja na RPC Singida na...
9 Reactions
136 Replies
19K Views
ORODHA YA VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA TARIME WALIOKAMATWA NA POLISI MPAKA SASA. 1. M/Kiti wa Wilaya - Mwita Joseph (White) 2. M/Kiti wa Halmashauri ya Tarime Mji (Hamis Nyanswi) amepelekwa...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Kufuatia hoja ya Prof. Muhongo bungeni, ripoti ifuatayo inaweza kutupa mwanga kidogo. ======= 12/04/2021 Hydropower remains the lowest-cost source of electricity globally | Hydro Review...
2 Reactions
6 Replies
981 Views
Back
Top Bottom