Sakata la Mbowe: Kuna dalili za watu kuja kuandamana

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Hii ndio hali halisi huko Mbeya leo hii(mwnyewe utajiongeza):

Screenshot_20210803-185738_Twitter.jpg
 
Nashangaa jana Sirro anasema maandamano hayatakiwi tena kwa hasira, hii ni haki ya watu kisheria, tangu lini sheria zikakatazwa kufuatwa kwa makusudi tena na kiongozi wa jeshi la polisi?

Sirro anatakiwa akumbushwe ajue kazi ya jeshi la polisi ni kutoa ulinzi kwa wananchi bila kujali itikadi za vyama vyao, anachofanya Sirro sasa hivi ni kutoa ulinzi kwa CCM kwa maslahi ya chama chao.

Anatakiwa aamshwe kutoka usingizi wa pono aliolala, na asiwatishe wanaotaka kutimiza takwa lao kisheria, hii ni nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, sio ya chama kimoja.
 
Kilichobaki ni watu kuzoe milioni ya bunduki tu maana kulala mahabusu na vipigo vya Polisi ni wazi vinaanza kuzoeleka.
 
Si jambo jema kuwabambikia watu kesi. Mungu wetu ni wa HAKI, ipo siku wanaotenda hivyo watakutana na hukumu yake
 
AMANI YA NCHI NI MUHIMU SANA KULIKO wafuasi wa Chadema, kamwe tusikubali wahuni wachache wakajaribu kuichezea Amani yetu.
yeyote atakaye jiona ana uhalali wa kuchezea amani yetu ana stahili au wanastahili kuchakazwa vilivyo ili iwe fundisho kwa wengine.
Jeshi letu linapaswa kufuatilia nyenendo za wafuasi wa chadema kwa karibu zaidi usiku na mchana maana baadhi yao wana chembe chembe za UGAIDI.
 
AMANI YA NCHI NI MUHIMU KULIKO MALAYA WA KISIASA , WANAFIKI NA WACHUMIA TUMBO WA CCM.Lazima ifike sehemu wafe wote na Katiba mpya ipatikane.

Wewe isinge kuwa njaa zako zilizo hamia kichwani ungetumia kichwa badala ya mattako kufikiri
 
Waandamane tuu kichapo Kiko pale pale,kwani Tunisia umeona wapinzani wanafanywaje? Wazungu wamewasaidia wapinzani licha ya kutiwa ndani? Pumbavu
 
Nashangaa jana Sirro anasema maandamano hayatakiwi tena kwa hasira, hii ni haki ya watu kisheria, tangu lini sheria zikakatazwa kufuatwa kwa makusudi tena na kiongozi wa jeshi la polisi?

Sirro anatakiwa akumbushwe ajue kazi ya jeshi la polisi ni kutoa ulinzi kwa wananchi bila kujali itikadi za vyama vyao, anachofanya Sirro sasa hivi ni kutoa ulinzi kwa CCM kwa maslahi ya chama chao.

Anatakiwa aamshwe kutoka usingizi wa pono aliolala, na asiwatishe wanaotaka kutimiza takwa lao kisheria, hii ni nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, sio ya chama kimoja.
wewe kaandamane usilete maneno huku-ebo
 
Tuendelee na ujinga wa kuhubiri ugaidi ugaidi ugaidi, nchi yetu imebarikiwa haina hayo mambo, tunayakuza kwa maneno na kujiombea mabaya, tusingiziane mambo mengine na sio ugaidi, ila aombaye hupewa. Tuache kujitabiria na kujitafutia mabaya.
 
Mzee Siro ni mzigo Kwa Jeshi la Polisi.. Ana akili ndogo sana kustahili kuongoza Taasisi kubwa kama ile
 
Back
Top Bottom