Kwa sasa ni rasimi Ikulu imerudi Dar, hilo sio shida, ila je nani anawajibika kwa hasara ya kujenga majumba Dodoma? Nani atakuja kulipa hizo hasara?
Make sisi wananchi Wajinga sisi, ni kama...
Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible.
Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa...
Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake.
Sifa za mtu kuteuliwa kushika...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Ama baada ya salam sasa niende kwenye mada husika. Kama ilivyozoeleka huko nyuma, swala la uzinduzi wa vitabu hasa kwa viongozi wetu lilikuwa ni la uwazi, ambapo...
Kwa wanasiasa wazuri kila kitu kinachomkumba mtu ni mtaji wa kisiasa kiwe cha heli au Shari.
Mfano Zitto umaarufu wake ulikuwa Sana baada ya kufukuzwa bungeni. Tisheti zikachapwa, Kanga na...
The Nuremberg Code ina vipengele vifuatavyo:-1
The voluntary consent of the human subject is absolutely essential. This means that the person involved should have legal capacity to give consent...
Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya...
Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena
Somo la historia ya Tanzania lasitishwa
Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote.
Source ITV news...
Another way to help the poor in a direct way was the National Health Insurance Fund which offered health insurance to families. I learnt about this scheme from Rostam Azziz, a member of parliament...
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri...
Kama kuna waziri anayepwaa katika uongozi basi ni Dk Kalemani. Maana hana maono ya uongozi.
Kiongozi mwenye busara utasambaza taa za mitaani huku wananchi hawana uhakika wa kupata maji?
Yapata...
Wakulima wa mbaazi wailaya ya Tunduru Kijiji cha Tulieni, juzi tarehe 5/7/2021 walimshambulia DC wa Tunduru kwa mawe mpaka akalazimika kuwahita polisi toka mjini Tunduru. Wakulima wengi...
Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi...
Mwaka huu na ujao 2022 katiba ni lazima ipatikane CCM wakitaka wasitake na kama hawataki wakae pembeni maana saa mbaya! Umma umeanza kuiva na uvumilivu juu ya genge la CCM lililojipenyeza kwenye...
Kada Maarufu wa CCM amesema laiti Wapinzani wangekuepo bungeni, yaani hata Wapinzani 10 tu, CCM wasingepitisha tozo za ajabu hivi.
Ng'ombe haoni faida ya mkia wake hadi siku ukikatika.
"Leo...
Kwa mtazamo wangu, tunapotaka kuimarisha umoja miongoni mwa vyama vya upinzani nchini, moja ya jambo tunalopaswa kuliepuka au kutoendelea nalo ni kuita CHADEMA chama kikuu cha upinzani.
Nasema...
Ni Wazi kuwa wanachama na wafuasi wa CHADEMA wanazidi kuimarika siku baada ya siku kutokana na misukosuko wanayopitia.
Polisi Wamekuwa Wanawaimarisha CHADEMA kupitia kamata kamata za polisi...
Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika hadi unakosa majibu.
Eti askari ambaye amepata mafunzo kabisa anatumia gari la serikali kubomoa ofisi ya chama ambacho kina usajili halali, unakosa majibu...
Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano.
Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.