Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,661
Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.

Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi hatuna pa kwenda, na pengine Maria Sarungi,kwa siri sana, ana uraia wa ulaya kwa mama yake!

Akili za kuambiwa na Maria Sarungi changanya na zako
 
Acha ujinga,hata ndani ya kijani wapo wanaoandamana,na kuwaona mliopungukiwa akili na maarifa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mimi chadema lakini nimestuka, yaani nivunjwe mguu kisa Maria ambaye kajificha haji barabarani.

Acha nijenge uchumi was familia tu, watoto walale njaa kisa Maria Sarungi, hata nikikamatwa kwenye dhamana Polisi hatakuja
Hizo ni propaganda za wasio amini au kupenda haki.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.

Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi hatuna pa kwenda, na pengine Maria Sarungi,kwa siri sana, ana uraia wa ulaya kwa mama yake!

Akili za kuambiwa na Maria Sarungi changanya na zako
Ni sawa na kuuliza mbona Rais hashiriki vita aliyoitangaza kwa sababu haonekani kwenye uwanja wa mapambano ameshika bunduki 🤣 🤣
 
Mimi chadema lakini nimestuka, yaani nivunjwe mguu kisa Maria ambaye kajificha haji barabarani.

Acha nijenge uchumi was familia tu, watoto walale njaa kisa Maria Sarungi, hata nikikamatwa kwenye dhamana Polisi hatakuja
Kuna jambo unalijua ila unajifanya zezeta tu.
Hakuna mtu anayeweza kujenga uchumi sio wa familia tu, hata wake km nchi ikiingia machafuko
Tangaza HAKI ili amani ijilete

Kuhusu hao wanawake, huwezi kuona mchango wao kwa sababu akili yako inajua harakati ni kuandamana na kutukanana
Basi kwa taarifa yako, leo Bi. Fatma a.k.a Shangazi alikuwapo kisutu
 
Ndugu

wale wapo online reublic
Wana Twitter space - wakati kitaa hata kula kamde ni hesabu

Na wana bills of rights, kitaa zipo bills za maji na umeme

you will never see them in the battlefield
 
Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.

Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi hatuna pa kwenda, na pengine Maria Sarungi,kwa siri sana, ana uraia wa ulaya kwa mama yake!

Akili za kuambiwa na Maria Sarungi changanya na zako
Punguani wewe, nani alikwambia kuna maandano ya kwenda mahakamani. Tofautisha kati ya kwenda mahakamanj na kuandamana mahakamani. Nyie wanaLumumna mbona mko punguani hivyo?
 
Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata.

Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi hatuna pa kwenda, na pengine Maria Sarungi,kwa siri sana, ana uraia wa ulaya kwa mama yake!

Akili za kuambiwa na Maria Sarungi changanya na zako
Yaani wewe una akili ya kuona mambo. Huyu mulato anajipendekeza kwa wazungu kujionyesha mliberali kuliko hata wazungu. Ndio shida ya machotara...naye shangazi mambo ni yaleyale kujidai wazungu. Watu wanatetea uhuru wa mashoga huku afrika wakati huko ulaya watu decent hawalikubali.
 
Watanasa mabwege, vijana tustuke, wanaoteseka ndugu zetu kututibu tukiumia na kututoa rumande, watoto wetu njaa zinawapiga tukiwa rumande, tumekataa
Kabisa mkuu.

Watoto wa vigogo, wazazi wao tu dhamana tosha
 
Back
Top Bottom