Video: Polisi wavunja ofisi ya CHADEMA mkoani Kigoma

Khadija Mtalame

Senior Member
Jul 14, 2021
186
715
Hapa ni Eneo la Mwanga Urusi Kigoma mjini. Asubuhi hii Polisi waliamua kuanza kazi kwa kuvunja JIWE la msingi la CHADEMA! Uadui huu hauna tija! Tanzania ni nchi inayotambua mfumo wa vyama vingi! Vyombo vya Dola ni vya wananchi siyo ya chama tawala CCM.

 
Hapa ni Eneo la Mwanga Urusi Kigoma mjini. Asubuhi hii polisi waliamua kuanza kazi kwa kuvunja JIWE la msingi la CHADEMA! Uadui huu hauna tija! Tanzania ni nchi inayotambua mfumo wa vyama vingi! Vyombo vya Dola ni vya wananchi siyo ya chama tawala CCM!
Unaandika Kama unatekenywa na mmeo

USSR
 
USSR,
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Back
Top Bottom