#COVID19 Global Fund yatoa Dola za Marekani Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na UVIKO-19

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Fund, Peter Sands amesema Fedha zitatumika kununua PPE, mitungi ya Oxygen, kuziongezea uwezo maabara na kuboresha miundombinu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema janga la Corona limeathiri mapambano dhidi ya Kifua Kikuu, UKIMWI na Malaria

45614C43-568C-4721-8562-A971EB163618.jpeg
730E4CE2-E811-44EC-A296-4464496214F4.jpeg
 
Hizi pesa huwa zinatolewa lakini bado tunasikia kuna uhaba wa oxygen kwenye hospitali za serikali, huu upole wa Samia unatumiwa sana na wajanja, na hizi wasipoangalia zitapigwa kama hapatakuwepo na strong measures kwenye ufuatiliaji na usimamizi.
 
Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Fund, Peter Sands amesema Fedha zitatumika kununua PPE, mitungi ya Oxygen, kuziongezea uwezo maabara na kuboresha miundombinu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema janga la Corona limeathiri mapambano dhidi ya Kifua Kikuu, UKIMWI na Malaria

View attachment 1883197View attachment 1883198
Fedha hizi kama ni kweli zinatolewa basi zipelekwe Kule Kilimanjaro Hali zao kuhusu corona ni mbaya. Mortuary zimejaa maiti na oxygen hakuna. Vinginevyo tutasikia zinapelekwa TARURA kutengeneza barabara za vijijini.
 
Hizi pesa huwa zinatolewa lakini bado tunasikia kuna uhaba wa oxygen kwenye hospitali za serikali, huu upole wa Samia unatumiwa sana na wajanja, na hizi wasipoangalia zitapigwa kama hapatakuwepo na strong measures kwenye ufuatiliaji na usimamizi.
Zitapelekwa kumalizia reli😆
 
😂😂😂 yaani kuwalama mat..ko kote mabeberu hilo ndio mnalolitaka ?

kaaaaazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom