Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu.
Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake.
Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda...
Mgeni maalumu Mstahiki Meya wa Moshi Juma Raibu akiongea katika hafla ya Jeshi la polisi ya kuwapandisha vyeo askari wake katika ngazi za staff sajenti,sajenti na koplo amewataka wanaopanga...
Haujambo Mwana Jamvi, Heri na hongera sana kwa sikukuu ya Eid-Al-fitr. Kwa niaba yangu binafsi nakutakia sherehe njema, ikawe heri na amani kwa upande wako. Eid Mubarak!!!!
Mwaka 2006 viliibuka...
Haya nimeyaona kwa Magufuli na alikuja kuanguka vibaya sana katika utawala wake wa awamu ya tano.
Nayaona tena kwa Rais Samia sizani kama anguko litamuacha salama.
Chezea watu wote lakini achana...
Nianze kwa kutoa pole kwa wafanya kazi wa gazeti la uhuru kwa gazeti lao kufungiwa.
Nakumbuka kauli ya JK na hapa namnukuu "Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani" kauli hiyo ni ya kijasusi na...
Hiki chama kwa sasa ni kama kimeshindikana, hawawezi tena kukitoa kwenye reli , pamoja na unyama wote wanaotendewa lakini hawaachi mikakati yao ipotee.
Hebu jionee mwenyewe
DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM
CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel...
Nimemsikiliza Askofu Gwaima alichoongea kwenye mazishi ya Mzee ndesamburo,Hakika kama maasikofu wa katoliki wangekuwa na ujasiri kama gwajima.Nchi hii ingepona siku nyingi.
Gwajima hajang'ata...
Nimecheka sana baada ya Diamond kutoa wimbo wenye maudhui ya kisiasa huku akimtaja Gwajima na ile reaction ya Gwajima kisha diamond kuomba radhi kwa unyenyekevu na woga wa dhadhiri
Sio diamond...
Kuna siku inakuja naam naiona inakaribia! Tambo za CCM zitatupwa chini na hawataamini kitakachowapata. Siku inakuja Polisiccm wote watashangaa wasiamini anguko lao.
Ni suala la muda tu, CCM your...
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu, ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao...
Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia...
Habari za midaa hii wa JamiiForums.
Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya.
Imeelezwa kuwa...
Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.
Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.
Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye...
Mbunge wa Kawe mchungaji Gwajima anazidi kujipambanua kuwa yeye kwenye mambo ya siasa alilazimishwa tu.
Amewapa Mawaziri ukweli mtupu hasa wale wa afya kwa kutosimamia jambo wanaloliamini...
Baada ya Ikulu zote nchini Kisiwandui, Magogoni na Chamwino kukaliwa na Watanzania visiwani ndiyo nikaona umuhimu wa kuwa na serikali tatu au moja tu. Serikali tatu itasaidia kutunza siri na...
Askofu Gwajima alitoa hoja nzito na anaendelea kutoa hoja nzito.
Akina Kigwangala na wenzake wanakuja na hoja nyepesi. Wengine wanakuja na hoja za kitoto eti Gwajima afukuzwe oh! Auliwe. Ni...
Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe!
Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza...
Majukumu ya jeshi letu yanajulikana maana yametajwa kikatiba
Nimesoma maelezo ya wakili kibatara akisema mbowe aliamua kulindwa na wanajeshi baada ya kushambuliwa mkoani dodoma na kuvunjwa...