CHADEMA wanatafakarisha sana

CHADEMA wanatafakarisha sana

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,353
Reaction score
9,182
Mkuu wa chama chao wanamtetea kwa kila jambo ovu na baya atakalo fanya. Wapo radhi warushe magumi na mateke.

Alipovunja mguu kwa ulevi na starehe zake binafsi. Walitoka vifua mbele na hadharani wakadai ametekwa na wasiojurikana aka wazee. Lakini baadae waliumbuka na kukosa la kusema.

Kuhusu skendali la kutafuna ruzuku na michango ya wanachama hapo ndio walikuwa tayari kumchapa mtu vibao hadharani. Hata kama kulikuwa na ushahidi wa wazi wa mazingira uliomtia hatiani Mbowe.

Sasa hivi kabaninishwa kwa skendo na tuhuma za kutisha. Wanadai amebambikiwa.

Je, mahakama amabcho ni chombo huru kikimtia hatiani watasemaje?

My take: We need to be very serious when dealing with political affairs.
 
Mkuu wajinga ndio waliwao. Ila nasikia jamaa ana mganga wake kule nigeria ambae humsaidia kukusanya akili za wanachama wake na kutembea nazo mfukoni. Haiwezekani kwa mtu mwenye akili zake timamu tena msomi akubali kuongozwa na huyu jamaa. Hapa kuna namna sio bure!

2528007_20200919_173148.jpg
 
Kuna uhuru wa mahakama Tanzania?

Tuanzie hapo, kwa Katiba iliyopo Rais amepewa madaraka na nguvu kubwa kupitiliza.

Rejea alichojibiwa Paschal Mayalla na Jiwe kuwa mhimili huo umejichimbia chini zaidi kuliko yote! Guess what dude there is no checks and balances!

Sio ajabu matokeo ya udiwani, ubunge yanaweza kupingwa mahakamani ila ya urais kamwe hayahojiwi kokote! Kubwa la yote ni Rais ana kinga ya kutoshitakiwa awapo au atokapo madarakani!

Wateule 90% wanatokana na yeye wakiwemo watu wa Judiciary! Je unahitaji nini hapo kujua nini zaidi hapo??

Jibu ni kuwa hatuna mahali pa kumuwajibisha huyo yeyote awaye Rais akilewa madaraka!
 
Hii inaitwa gusa unate a.k.a mbwa kala fisi, yaani ni mwendo wa kumfitinisha huyo mama yenu na wananchi pamoja jumuiya za kimataifa, eehee ndiyo siasa hizo walizo chagua, za kistaarabu hawazitaki........,,,,
 
Kuna uhuru wa mahakama Tanzania?

Tuanzie hapo, kwa Katiba iliyopo Rais amepewa madaraka na nguvu kubwa kupitiliza.

Rejea alichojibiwa Paschal Mayalla na Jiwe kuwa mhimili huo umejichimbia chini zaidi kuliko yote! Guess what dude there is no checks and balances!

Sio ajabu matokeo ya udiwani, ubunge yanaweza kupingwa mahakamani ila ya urais kamwe hayahojiwi kokote! Kubwa la yote ni Rais ana kinga ya kutoshitakiwa awapo au atokapo madarakani!

Wateule 90% wanatokana na yeye wakiwemo watu wa Judiciary! Je unahitaji nini hapo kujua nini zaidi hapo??

Jibu ni kuwa hatuna mahali pa kumuwajibisha huyo yeyote awaye Rais akilewa madaraka!
Kwamba Executive ni mhimili uliojichimbia ndio sababu kuwa utaingilia mahakama? Sio kweli. Zipo kesi nyingi tu ambazo serikali ilishabwagwa.
 
Ila Tanzania kuna mazombie,eti Mbowe ni gaidi na kakamatwa Mwanza alipokwenda kuongoza kongamano la katiba mpya
 
Kwamba Executive ni mhimili uliojichimbia ndio sababu kuwa utaingilia mahakama? Sio kweli. Zipo kesi nyingi tu ambazo serikali ilishabwagwa.
Kwani hulijui hilo kwa Tanzania hakuna "checks and balances"?

Unahitaji mifano ipi ujue kuwa Executive kwa Tanzania imetia Legialature na Judiciary kwapani?

Hujui kuna watu walitimuliwa uanachama ila wakarudishwa bungeni na kuendelea kuwa wabunge?

Was it right kwa wakurugenzi kujihusisha kwenye "uchafuzi" wa serikali za mitaa 2019 kwa kiasi kikubwa hadi kusema CCM imeshinda kwa 99%?? Achilia mbali "uchafuzi" mkuu 2020 na kusema Jiwe alishinda kwa 84% je hizo kura ameenda nazo huko aliko?

Why tume iteuliwe na mmoja wa washindani wanaoenda kupigiwa kura ! Inahitaji hata elimu ya upili kujua hapo hakuna uchaguzi??
 
Kwahiyo serious dealing with political affairs ni kushika opposition people more than 1,000 unafunga jela bila hata judicial procedure ni njia sahihi unayosemea?

Opposition people are in the business of helping themselves politically,they are not here to help the government in its businesses,ulitaka wafanye nini kwa mfano?
Kwa tabia zetu za kitanzania na kiafrika,inafaa ilifike mahali tuelekezane kwa vitendo, kilichokuwa sahihi na kilichokuwa kibaya.
 
Kwahiyo serious dealing with political affairs ni kushika opposition people more than 1,000 unafunga jela bila hata judicial procedure ni njia sahihi unayosemea?

Opposition people are in the business of helping themselves politically,they are not here to help the government in its businesses,ulitaka wafanye nini kwa mfano?
Watu elfu moja wamefungwa wapi?
 
Bila kufuata sheria?

Maana we opposition we have our job to do

Hivyo kuja kutuingilia eti sababu tu mna madaraka ni kukoswa akili tu!

Mmemfunga Mbowe,ila kelele zinazopigwa mpaka mnajinyea wenyewe,mtamuachia na hakuna mnaloweza fanya,ndio kwanza fujo zimeanza!

Mnachofeli mnadhani kumfunga mtu jela ni kama mmemuua,thats not true,cha maana mngeua kabisa!

Jela kila siku opposition wanaingia na wanatoka na vyama vipo mpaka kesho,regardless opposition ipo to the maximum!

Mtashika hawa,mtashika wale,ila vyama vipi na watu hawaishi!
Kwa kawaida binadamu anapoamua kuwa mnafiki,mbinafsi huwa ni hatari zaidi ya nyoka, na hiyo imekuwa tabia ya mtanzania.
 
Ndio wale wanafiki niwasemao, kutwa kucha, ni kufurahia uoñevu na manyanyaso kwa wengine kisa mnatofautiana mawazo.
 
Back
Top Bottom