John Mnyika, ni bora muwe gerezani wote au Katiba Mpya?

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Siwezi kusema sana na wewe kama mtendaji mkuu wa Chama tikasikia kesi ya Ugaidi kama alivyo kwa mwenyekiti wako. Mwambie yupo ndani wewe hujashtakiwa na mtu. Wakati mnahangaika na mashtaka yake lazima muendelezo suala la madai ya Katiba Mpya.

Naamini kusudi zima la kumkamata Mbowe ni kufifisha juhudi za kudai Katiba Mpya, itakua jambo la ajabu endapo utakaa kimya na uhalisia unauona. Movement ya Katiba inatakiwa kua hot na dunia ijue.

Sasa una jambo la kuchagua, kukubali kuwa mpole au muwe jela wote wewe na mwenyekiti wako.
 
Hiyo inaonyesha Chadema/watu sisi ni wanafiki sana, kama katiba mpya ingekuwa ni jambo kubwa na la msingi bc hata hao wengine waliopo nje ya nchi wangerudi nyumbani kupambania hiyo Katiba.
 
Back
Top Bottom