Watanzania hatuna Shukrani. Kuna Kipindi Tushukuru kwa haya

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,981
Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.

Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.

Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.

Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.

Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
 
Hakuna Rais ambaye ni malaika na kila mmoja lazima atakosolewa tu!Iko hivyo na itaendelea kuwa hivyo daima,so relax!
Unapoweka dhamana ya kuongoza tambua kuna watu wana haki ya kukosoa!Ndio utawala wa kidemokrasia ulivyo!
Usijekaa ukasubiri Rais ambaye ataungwa mkono kwa kila jambo,no way!
 
Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.

Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.

Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.

Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.

Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
Wacha aupige tu....cc serikali ya wanyonge
 
Genye inatusumbua, lissu angekuwa rais wangesema tunaongozwa na mrembo toka Tanga
 
Mama Anaupiga Mwingi Sana Mpaka Unatoka Nje
Mama Anaupiga Mwingi Sana Mpaka Offside
Halafu Line One Haonyeshi Kibendera Juu
Mwafaa!!!😂😁🤣😃😄😅😁😀
 
Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.

Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.

Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.

Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.

Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
Hiyu mwaka hautaisha kabla mungu hajampenda zaidi
 
Ndiyo maana Dkt Magufuli aliwahi kunena, ukiona wapinzani wanakusifia ujue kuna mahali umekosea. Tatizo la wapinzani wetu wanaleta siasa za uanaharakati Tanzania badala ya kuangalia nature ya mazingira yetu na kuendesha siasa kulingana na tamaduni zetu. Mbowe ni moja ya viongozi wabovu sana, Dkt Slaa ndiye alifahamu namna ya kuongoza upinzani, nadhani yale mafunzo yake yalimsaidia sana, Mbowe elimu nadhani ni tatizo, na mpaka sasa bado anatembelea nyota ya Dkt Slaa, yaani anadhani anaushawishi, ngoja apigwe mvua ili akome
 
Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.

Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.

Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.

Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.

Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
Kisha eti wanataka Katiba inayowapa uhuru, si watapendekeza wazungu waje watutawale?

America yenyewe kuepusha mambo kama haya ndiyo maana waliweka electoral college ili kulinda mambo muhimu kwa taifa lao...Uwape watanzania uhuru wa kuamua na jinsi hii ya ku assess mambo hata ya wazi wanashindwa kuwa na critical minds, si unatafuta majanga mchana kweupe?

Baba wa Taifa aliona mbali...Note yet uhuru!
 
Uongozi sio hisani wala fadhili, ni wajibu kulingana na katiba na sheria za nchi.
 
Kisha eti wanataka Katiba inayowapa uhuru, si watapendekeza wazungu waje watutawale?

America yenyewe kuepusha mambo kama haya ndiyo maana waliweka electoral college ili kulinda mambo muhimu kwa taifa lao...Uwape watanzania uhuru wa kuamua na jinsi hii ya ku assess mambo hata ya wazi wanashindwa kuwa na critical minds, si unatafuta majanga mchana kweupe?

Baba wa Taifa aliona mbali...Note yet uhuru!
Warumi 13:1 mamlaka zote zimewekwa na MUNGU, kila ashindanaye na mamlaka hizo, ashindana na MUNGU wala sii SSH.
 
Electoral college ni nini?

Mambo gani 'kama haya' hiyo electoral college inaepusha?
Kisha eti wanataka Katiba inayowapa uhuru, si watapendekeza wazungu waje watutawale?

America yenyewe kuepusha mambo kama haya ndiyo maana waliweka electoral college ili kulinda mambo muhimu kwa taifa lao...Uwape watanzania uhuru wa kuamua na jinsi hii ya ku assess mambo hata ya wazi wanashindwa kuwa na critical minds, si unatafuta majanga mchana kweupe?

Baba wa Taifa aliona mbali...Note yet uhuru!
 
Hatuna jema. Hatuna msimamo hatujui tunataka nini.

Kipindi cha Kikwete tulisema Tanzania ili iendelee inataka Rais Mbabe/ Dikteta maana ina uswahili swahili mwingi sana. Akapatikana tukaanza tena sema hafai si dikteta kamili. Ni Uchwara. Akafariki.

Akaja Rais Samia huyu yeye ni mpole anaongea huku anabembeleza. Anaupiga mwingi sana hana tatizo na mtu, anajali wananchi na kuwasikiliza kaleta na chanjo anasafiri kuvutia wawekezaji.

Mmeanza tena kusema anaupiga mwingi hadi nje ya uwanja.mara anaupiga mwingi akiwa offside. Sasa ninyi mnataka Rais wa namna gani? Mbona hamna shukrani? Nobody is perfect.

Mwacheni Rais tumtie tu moyo afanye kazi yake ana miaka mingine kama tisa hivi. Tutulie dawa iingie.
We fala binadamu ni kabati utakapoliweka ndo Apo Apo????
Akifanya vizuri anasifiwa akiaribu anapondwa vile vile....
 
Asili ya mwanamke hasa wa kisiwani ni maneno, mdomo, misema, vijembe lakini utendaji waachiwe wanaume wanawake hata vitabu vya Mungu haviwakubali.
 
Usituchanganye Mkuu, Sisi Watz tuna shukurani sana. Nenda straight kwenye Hoja Sema Wenye chembe chembe za Ugaidi ndio hawana shukurani....! Sisi tumeridhika Kabisaaa mihospitali Ya Wilaya Zaidi ya 70, Mazahanati zaidi ya 400 Tanzania nzima ndani ya Miaka 6, mibarabara, Mindege,Miflyover Usiporidhika Wewe nani..?
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom