Mbatia na unabii wako wa kishetani umegonga mwamba

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Katikati ya mwezi uliopita Mbatia alijitokeza kwenye vyombo vya habari (mwanahalisi tv online) akasema baada ya wiki mbili kutakuwa na vifo vingi sana vya corona nchini kwetu katika namna ambayo haijawahi kutokea na hospitali zitazidiwa sana!

Ni janga kubwa!! Wee mbatia wewe!! yaani unaamua kuwa dalali wa mabeberu ili wapige pesa ya chanjo kichaa isiyoweza kumkinga mchanjwaji na maambukizi mapya!!

Hata kama una njaa ndo unaamua kuja na mkwara wa kutaka kutuingizia hofu!! Nilikupinga na kama una ubavu nenda tana mwanahalisi tv online ukarudie maneno yale yale!!

Acha wiki mbili, karibuni mwezi mzima unapita watanzania tupo salama salimini!! Vifo vilivyopo ni vya kawaida na hakuna maiti zilizozagaa wala hakuna taharuku yoyote na hakuna hospitali iliyozidiwa!! Wagonjwa wa corona mnaendelea kuwatafuta kwa tochi.

Tuambie Mbatia umefaidika nini kuwa na nabii wa Ibilisi kuhusu corona?? Manabii wa mauti kuhusu Tanzania waliokutangulia waligonga mwamba, na wewe umegonga mwamba na wajao watagonga mwamba!

Kwa taarifa yako maombi ya watanzania wacha Mungu ya mwaka 2020 hayaja-expire!! Na tunazidi kumwomba Mungu!! Timu ibilisi mtasubiri sana!

Hakuna namna ya kutuingizia hofu! Waambieni wanaowatuma kuwa Mungu wa Tanzania yuko macho!!
 
Fara kabisa. Unaleta siasa kwenye maisha ya watu. Covid imeua zaidi ya milioni 4 duniani mpaka sasa.
Katikati ya mwezi uliopita Mbatia alijitokeza kwenye vyombo vya habari (mwanahalisi tv online) akasema baada ya wiki mbili kutakuwa na vifo vingi sana vya corona nchini kwetu katika namna ambayo haijawahi kutokea na hospitali zitazidiwa sana! Ni janga kubwa!! Wee mbatia wewe!! yaani unaamua kuwa dalali wa mabeberu ili wapige pesa ya chanjo kichaa isiyoweza kumkinga mchanjwaji na maambukizi mapya!! Hata kama una njaa ndo unaamua kuja na mkwara wa kutaka kutuingizia hofu!! Nilikupinga na kama una ubavu nenda tana mwanahalisi tv online ukarudie maneno yale yale!! Acha wiki mbili, karibuni mwezi mzima unapita watanzania tupo salama salimini!! Vifo vilivyopo ni vya kawaida na hakuna maiti zilizozagaa wala hakuna taharuku yoyote na hakuna hospitali iliyozidiwa!! Wagonjwa wa corona mnaendelea kuwatafuta kwa tochi!!
Tuambie Mbatia umefaidika nini kuwa na nabii wa Ibilisi kuhusu corona?? Manabii wa mauti kuhusu Tanzania waliokutangulia waligonga mwamba, na wewe umegonga mwamba na wajao watagonga mwamba!! Kwa taarifa yako maombi ya watanzania wacha Mungu ya mwaka 2020 hayaja-expire!! Na tunazidi kumwomba Mungu!! Timu ibilisi mtasubiri sana!!! Hakuna namna ya kutuingizia hofu!!! Waambieni wanaowatuma kuwa Mungu wa Tanzania yuko macho!!
 
Mtanzania

watu wamekufa sana tu

wala usijitie upofu , unless uko out of touch

nevertheless, Mbatia hakua na sababu ya kutamka yale hadharani

amekua kama Melinda Gates wa pili
 
Vifo vipo vingi sana vya Corona,na hapa sizungumzii hivi vinavyotangazwa kwenye tv wala mitandao,ni huku mtaani tunakoishi
 
Hata aliesema Corona haipo tz na ameishinda kwa maombi alishakwenda na maji......kinachotupa matumaini ni kwa vile hakuna takwimu zinazotolewa na mamlaka Ila wanatoweka gafla gafla kwa changamoto ile ile
 
Katikati ya mwezi uliopita Mbatia alijitokeza kwenye vyombo vya habari (mwanahalisi tv online) akasema baada ya wiki mbili kutakuwa na vifo vingi sana vya corona nchini kwetu katika namna ambayo haijawahi kutokea na hospitali zitazidiwa sana! Ni janga kubwa!! Wee mbatia wewe!! yaani unaamua kuwa dalali wa mabeberu ili wapige pesa ya chanjo kichaa isiyoweza kumkinga mchanjwaji na maambukizi mapya!! Hata kama una njaa ndo unaamua kuja na mkwara wa kutaka kutuingizia hofu!! Nilikupinga na kama una ubavu nenda tana mwanahalisi tv online ukarudie maneno yale yale!! Acha wiki mbili, karibuni mwezi mzima unapita watanzania tupo salama salimini!! Vifo vilivyopo ni vya kawaida na hakuna maiti zilizozagaa wala hakuna taharuku yoyote na hakuna hospitali iliyozidiwa!! Wagonjwa wa corona mnaendelea kuwatafuta kwa tochi!!
Tuambie Mbatia umefaidika nini kuwa na nabii wa Ibilisi kuhusu corona?? Manabii wa mauti kuhusu Tanzania waliokutangulia waligonga mwamba, na wewe umegonga mwamba na wajao watagonga mwamba!! Kwa taarifa yako maombi ya watanzania wacha Mungu ya mwaka 2020 hayaja-expire!! Na tunazidi kumwomba Mungu!! Timu ibilisi mtasubiri sana!!! Hakuna namna ya kutuingizia hofu!!! Waambieni wanaowatuma kuwa Mungu wa Tanzania yuko macho!!
Katika hili hakika ashindwe kabisa kwa Jina lipitalo majina yote.

Vv
 
We mbayuwayu hebu tumia akili wewe. Haikusaidii chochote kuleta ushabiki maandazi kwenye tatizo.

We huoni hii misiba sasa hivi? Unaona sawa tu?

Eti Mungu wa Tanzania.
Niambie ni siku ipi katika historia ya Tanzania ilipita siku bila kuwa na msiba wowote Tanzania?? Misiba iliyopo ni ya kawaida na imekuwepo siku zote!!! Ndio maana watu wamegoma kulazimishwa mambo ya barakoa!! Maisha yanaendelea kama kawaida, wewe hauoni? Hata hao viongozi wa siri-kali wanaishi miongoni mwetu!! Wanavaa barakoa tu wanapokuwa mbele ya kamera!! Ndiyo maana mbio za mwenge hazijasitishwa japo zinakusanya maelfu!! Corona inatafutwa kwa tochi na kubambikizia vifo kuwa ni ya corona!!
 
yaani unaamua kuwa dalali wa mabeberu ili wapige pesa ya chanjo kichaa isiyoweza kumkinga mchanjwaji na maambukizi mapya!!
Kwanini usilete chanjo wako yenye ubora unaotambulika wewe, ili tusiwalipe hao mabeberu

Vifo vilivyopo ni vya kawaida na hakuna maiti zilizozagaa wala hakuna taharuku yoyote na hakuna hospitali iliyozidiwa
Una data yeyote yakui support hoja yako

Kwa taarifa yako maombi ya watanzania wacha Mungu ya mwaka 2020 hayaja-expire!! Na tunazidi kumwomba Mungu!!
Unadhani maombi yana msaada kwa sasa?

Awamu ya 5 ilitengeneza watu wajinga kuwahi kutokea?
 
Hata aliesema Corona haipo tz na ameishinda kwa maombi alishakwenda na maji......kinachotupa matumaini ni kwa vile hakuna takwimu zinazotolewa na mamlaka Ila wanatoweka gafla gafla kwa changamoto ile ile
Uongo haukusaidii!!! Mheshimiwa alifariki kwa tatizo la moyo alilokuwa nalo kwa muda mrefu!!! Wewe kuwa ni mzima ni ushahidi tosha kuwa hakuna corona Mungu alituponya ! Kama wewe unaitaka itakuja kwako na kwa familia yako!! Mkitaka kujua corona ilivyo waulizeni India, au Italia au Brazil!! Mbatia kalewa tip ya mabeberu tu anakuja kutishia watu hapa na corona hewa!!
 
Timu ibilisi mtasubiri sana!!! Hakuna namna ya kutuingizia hofu!!! Waambieni wanaowatuma kuwa Mungu wa Tanzania yuko macho!!
Sio watasubiri sana tuu,bali wanachokiomba watakipata wenyewe maana aisifuye mvua itamnyeshea.
Sisi tuendelee kumlilia Mungu na kumuamini pia kuchukua tahadhari kama ilivyo kwa magonjwa mengine yaliyotangulia.
 
Kwanini usilete chanjo wako yenye ubora unaotambulika wewe, ili tusiwalipe hao mabeberu

Una data yeyote yakui support hoja yako

Unadhani maombi yana msaada kwa sasa?

Awamu ya 5 ilitengeneza watu wajinga kuwahi kutokea?
Hakuna haja ya chanjo maana tatizo halipo tena!! Uzima ulionao ni ushahidi tosha kuwa Mungu alituponya na hakuna haja ya chanjo!! Kama unalazimisha kuwa corona ipo basi itakuja kwako tu na kwa familia yako maana umeukataa uponyaji wa Mungu!! Ni kufuru iliyoje!! Litakapokufika usianze kutafuta mchawi!!
 
Fara kabia. Unaleta siasa kwenye maisha ya watu. Covid imeua zaidi ya milioni 4 duniani mpaka sasa.
Ila ardhi inameza watu, we fikiria hao milioni nne ni wa covid tu ila bado kansa,kisukari,T.B,Hiv,presha,maradhi ya moyo .n.k nayo pia yanaendelea kuuwa watu.
 
Hata aliesema Corona haipo tz na ameishinda kwa maombi alishakwenda na maji......kinachotupa matumaini ni kwa vile hakuna takwimu zinazotolewa na mamlaka Ila wanatoweka gafla gafla kwa changamoto ile ile
Kama hakuna takwimu maana yake hatuoni ukubwa wa tatizo sasa wewe mkuu umewezaje kuona ukubwa wa tatizo pasina takwimu?
 
Vifo vipo vingi sana vya Corona,na hapa sizungumzii hivi vinavyotangazwa kwenye tv wala mitandao,ni huku mtaani tunakoishi
Ok na vp kuhusu watu kuuguwa huko majumbani? maana watu kufa sana ina maana ya kuwepo maambukizi mengi sana na hivyo watu wengi hupata maambukizi na kuuguwa.
 
Uongo haukusaidii!!! Mheshimiwa alifariki kwa tatizo la moyo alilokuwa nalo kwa muda mrefu!!! Wewe kuwa ni mzima ni ushahidi tosha kuwa hakuna corona Mungu alituponya ! Kama wewe unaitaka itakuja kwako na kwa familia yako!! Mkitaka kujua corona ilivyo waulizeni India, au Italia au Brazil!! Mbatia kalewa tip ya mabeberu tu anakuja kutishia watu hapa na corona hewa!!
Naona we ndo ulikuwa dr wake mkuu na kuthibitisha maradhi yake....
 
Back
Top Bottom