Uchaguzi 2020 Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Nukuu "penda kazi usipende ofisi".

Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.

Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako mbele.

Sisi bado tupo hatupungui na hatuishiwi kamwe. Tunazidi tu kuchipua tena tuna nguvu zaidi ya jana.

Karibu

Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

MWANZA - NYAMAGANA STAND UP
 
Weka cv yako acha ubabaifu
 
Sawa mtoto wa mjini. Kwa huku Kinondoni ukisema mtoto wa mjini kuna tafsiri nyingi sana.
Haahaa Nyamagana hakuna tabia za kinondoni brother. Ukiwa Mwanza - Nyamagana ulizia Masalu Jacob mtoto wa mjini utapata habari.

Karibu Mwanza - Nyamagana.
 
Nukuu "penda kazi usipende ofisi".

Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.

Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako mbele.

Sisi bado tupo hatupungui na hatuishiwi kamwe. Tunazidi tu kuchipua tena tuna nguvu zaidi ya jana.

Karibu

Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

MWANZA - NYAMAGANA STAND UP
Kipindi cha kampeni za uchaguzi bado. Kwa kufanya hivyo ulivyofanya unamuweka mahala pabaya sana huyo mgombea mtarajiwa.
 
Nukuu "penda kazi usipende ofisi".

Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari.

Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako mbele.

Sisi bado tupo hatupungui na hatuishiwi kamwe. Tunazidi tu kuchipua tena tuna nguvu zaidi ya jana.

Karibu

Piga kura yako kwa mtoto wa mjini Masalu Jacob (Jimbo la Nyamagana)

MWANZA - NYAMAGANA STAND UP

Umeanza kampeni kabla hamjaruhusiwa na tume...ukinyonywa unaanza kulia lia..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom