Tanzania Yaibuka Kinara wa Uwekezaji EAC Yote. Yasweka Kibindoni Dola Bilioni 1

eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
15,654
13,794
Tanzania kinara uwekezaji EAC kwa dola bil. 1

TANZANIA imezipiku nchi zote za Afrika Mashariki kwa kupata uwekezaji mkubwa wa Dola bilioni 1.0, kwa mujibu wa taarifa ya uwekezaji ya kidunia iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuendeleza Biashara Sawia Kimataifa (UNCTAD).

Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya uwekezaji wa kidunia kwa mwaka 2020, Burundi ilipata uwekezaji wa Dola million sita, Kenya Dola milioni 717, Rwanda Dola milioni 135 na Uganda Dola milioni 823.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Dk. Maduhu Kazi, alisema jana kwamba janga la corona imesababisha Tanzania kuvutia mitaji ya viwanda vya dawa za binadamu hususani vifaa vya kujikinga (PPE).

Kuhusu ushiriki wa Watanzania katika uwekezaji, Dk. Kazi alisema katika kipindi cha mwaka wa 2020/21 miradi ya wawekezaji ya Watanzania pekee iliyosajiliwa ni 66 sawa na asilimia 28 ya miradi yote 235 kwa kipindi hicho.

Pia alisema miradi ya ubia kati ya Watanzania na wageni iliyosajiliwa ni 65 sawa na asilimia 28 ya miradi yote, hivyo katika miradi 235 iliyosajiliwa, asilimia 56 ya miradi hiyo Watanzania wamehusika katika umiliki wake.

Alisema kutokana na maboresho mbalimbali yaliyofanyika katika kipindi cha mwaka 2020/21 kumekuwapo mafanikio makubwa katika eneo la uwekezaji ambayo ni kusajiliwa kwa miradi mipya 235 inayotarajia kuwekeza mtaji wa Dola za Marekani bilioni 3.3 na kuzalisha ajira mpya 36,849.

Idadi hiyo, alisema ni ongezeko la asilimia nane ya miradi iliyosajiliwa mwaka 2019/20 ambapo ilisajiliwa miradi 219 na kwamba miradi miradi 99 iko Dar es Salaam ikifuatiwa na Pwani 34.

Mikoa mingine na idadi ya miradi kwenye mabano ni Mwanza (15), Dodoma (13), Arusha (120, Shinyanga (11), Mara (tisa), Iringa na Tanga (minane) kila mmoja, Morogoro (saba), Geita (minne), Lindi na Ruvuma (mitatu kila mmoja), Kagera (miwili) na mikoa iliyobakia mradi mmoja kila mmoja.

Dk. Kazi alisema sekta ya uzalishaji viwandani yenye miradi 138 ikiongoza kwa uwekezaji.

Alisema kuongezeka kwa miradi ya uwekezaji kumechangiwa na jitihada zilizofanywa na uongozi wa serikali ya awamu ya sita akitoa mfano wa Aprili hadi Juni, mwaka huu ambapoTIC ilisajili miradi 84 ambayo ni ongezeko la asilimia 68 ikilinganishwa na miradi 50 kipindi kama hicho mwaka jana.

Pia alisema ajira na mitaji inayotarajiwa kutokana na miradi ya Aprili hadi Juni ni wastani wa mara sita ikilinganishwa na kipindi hicho mwaka jana na kwamba kuongezeka kwa miradi, ajira na mitaji hiyo inatokana na maboresho mbalimbali yaliyofanywa na TIC

Nilivyosoma kichwa cha habari hii nilijiuliza ni vipi Tanzania hii moja tunayoijua kwa kutuma vilema Kenya kuomba pesa barabarani inaweza kuwekeza EA kushinda Kenya inayowekeza mabenki na makampuni kubwa huko Tanzania? Kumbe unazungumza kuhusu pesa inayotoka nje na kuja Tanzania. Kumbuka asilimia kubwa ya hio pesa ya uwekezaji inatoka Kenya. Sisi ni wawekezaji wakubwa huko lazyland kwa hivyo mtushukuru kwa hilo. Nyinyi muwache tabia ya kutuma wawekezaji Kenya sampuli ya waomba pesa barabarani
 
Hahahaha, Nani awekeze katika nchi iliyojaa ukabila, Alshabaab, political violence & assassinations, crime and starvation?. Kumbuka soko la Uganda tumeshalinyakua
 
Nilivyosoma kichwa cha habari hii nilijiuliza ni vipi Tanzania hii moja tunayoijua kwa kutuma vilema Kenya kuomba pesa barabarani inaweza kuwekeza EA kushinda Kenya inayowekeza mabenki na makampuni kubwa huko Tanzania? Kumbe unazungumza kuhusu pesa inayotoka nje na kuja Tanzania. Kumbuka asilimia kubwa ya hio pesa ya uwekezaji inatoka Kenya. Sisi ni wawekezaji wakubwa huko lazyland kwa hivyo mtushukuru kwa hilo. Nyinyi muwache tabia ya kutuma wawekezaji Kenya sampuli ya waomba pesa barabarani
🤣 🤣 🤣
Wivu mbaya bwana mdogo.
 
Safi Mama Samia...fungua nchi taratibu. Miezi kadhaa rekodi na viashiria vya kiuchumi vinavunjwa.
Tutengenezee ajira

Ila Mama tozo za mihamala ya simu mwambie Mwigulu apunguze...
 
Santa sana Mama... fungua kote kote. hio ilikua ni kionjo tu, tunataka kuingia kwa kishindo.
 
Nilivyosoma kichwa cha habari hii nilijiuliza ni vipi Tanzania hii moja tunayoijua kwa kutuma vilema Kenya kuomba pesa barabarani inaweza kuwekeza EA kushinda Kenya inayowekeza mabenki na makampuni kubwa huko Tanzania? Kumbe unazungumza kuhusu pesa inayotoka nje na kuja Tanzania. Kumbuka asilimia kubwa ya hio pesa ya uwekezaji inatoka Kenya. Sisi ni wawekezaji wakubwa huko lazyland kwa hivyo mtushukuru kwa hilo. Nyinyi muwache tabia ya kutuma wawekezaji Kenya sampuli ya waomba pesa barabarani
Hata mimi nilikua nafikiri ni hivyo, mpaka niliposoma hii comment yako ndo ika click akilini kwamba anamaanisha nchi za EAC ziliwekeza zaidi Tanzania na si kwamba eti Tanzania iliongoza kuwekeza kwa nchi zengine
 
Tanzania imekuwa kinara na kuzipiku nchi zote za Afrika Mashariki kwa kuvutia uwekezaji mkubwa wa Dolari za Kimarekani Bilioni 1. Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa ya uwekezaji ya kidunia iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuendeleza Biashara na Maendeleo (UNCTAD).

Kwa mengi zaidi tembelea

View attachment 1890578

Alafu Kumbe hata kwa Kawaida hua Kenya inapata FDI kubwa kuliko TZ in the last 5 years? Tangu investemnt za kuchimba gesi zipungue FDI into TZ imeshuka sana, nakumbuka kitambo ilikua inafika hadi $3B ilikua Kenya imeachwa nyuma sana na TZ, Wakati huo nilikua nasema most of TZ FDI is in the mining industry nilikua natukanwa na Watz nikiambia sijui chochote.

Between 2015-2020:
Total Combined FDI into TZ is = 1561+864+938+972+991+1013 == $ 6.339 Billion USD.

Total Combined FDI into KE is = 1464+1139+1404+1139+1098+717 == $ 6. 961 Billion USD
FDI Inflows UNCTAD.png
 
View attachment 1891105

Walikua wanajisifia FDI ya makaburu wa South kuja kuchuma madini yote na kuwaachia mahandaki tupu na umaskini.
 
Hata mimi nilikua nafikiri ni hivyo, mpaka niliposoma hii comment yako ndo ika click akilini kwamba anamaanisha nchi za EAC ziliwekeza zaidi Tanzania na si kwamba eti Tanzania iliongoza kuwekeza kwa nchi zengine
Hahahaha, tunawapiga bao kila sehemu
1)Miradi mikubwa na yenye pesa kubwa
2)FDI
3)Exports to Uganda
4)
 
Hiv kwann watu huwa wanasema wawekezaji wanaenda Rwanda ? Mbna wana FDI ndogo hivo ?
 
Hiv kwann watu huwa wanasema wawekezaji wanaenda Rwanda ? Mbna wana FDI ndogo hivo ?
Hata pia huku Kenya hua tunaambiwa hivyo hivyo... Labda hua wanamaanisha interms of pa Capita, Yani wananchi ni kidogo na uchumi ni mdogo kwahivyo $300m ni pesa nyingi .
 
Hiv kwann watu huwa wanasema wawekezaji wanaenda Rwanda ? Mbna wana FDI ndogo hivo ?

Hiv kwann watu huwa wanasema wawekezaji wanaenda Rwanda ? Mbna wana FDI ndogo hivo ?

Hizo data sijui zimetolewa wapi,RDB wameandika hivi:

Rwanda Development Board registers US$ 1.3 billion worth of investments in 2020

The Rwanda Development Board (RDB) registered investments worth US$ 1.3 billion in 2020, a decrease of 47.1% from the previous year. In 2019, RDB registered investments worth US$ 2.46 billion. The decline in investments was attributed to the COVID-19 pandemic that affected the global economy.

Real estate and construction and manufacturing accounted for 68% of all investments registered at 48% and 20% respectively. Other sectors that attracted significant investments include agriculture, ICT, energy, mining and financial services.

A total of 24,703 jobs are expected to be created by the new investments with the manufacturing and construction sectors expected to create 8,661 and 6,372 new jobs, respectively. The Government aims to create 214,000 new jobs every year from investments and other employment sources.

Foreign direct investments contributed 51% of the total investments registered in 2020, while Joint ventures and local investments contributed 29%, and 20% of the investments, respectively. In comparison, foreign direct investment represented 37% of the total investment registrations in 2019, while Joint ventures and local investment represented 44% and 19% respectively.

Some of the largest investment projects registered in 2020 include; One Acre Fund, (US$193 million), Phoenix Plaza (US$179 million), Duval Great Lakes Ltd (US$69 million), Sinohydro Corporation Limited (US$66 million), Girinzu Developers (US$41 million), Petrocom Building (US$35 million) and BBOXX Africa Management Ltd (US$ 29 million).

Other key investment projects registered during the year included; US$12 million by Norrsken Rwanda Ltd to build East Africa’s largest hub for entrepreneurship and innovation, US$4.45 million by Nexus Academy to set up a professional aviation training academy and to offer licensed courses in flight training, aircraft maintenance, ground handling; and US$26.2 million by Bralirwa Ltd for the expansion of the brewery to meet the growing demand for their products in the country and for export.

Commenting on the 2020 investment registration figures, RDB Chief Executive Officer, Clare Akamanzi, said:

“The year 2020 was challenging for investment and business in general. Despite the global economic slowdown resulting from the COVID-19 pandemic, Rwanda registered significant investments in key sectors of our economy. This is a sign of continuous investor confidence in Rwanda by both local and foreign investors. We are optimistic that these investments will further accelerate economic recovery by boosting local production and creating needed jobs for our people. The Government of Rwanda is committed to supporting businesses to recover through initiatives like the Economic recovery fund- a Rwf100billion facility to support companies affected by the pandemic so that they can survive, restart work/production and safeguard employment and through the Manufacture/Build to recover program that seeks to incentivise investors in construction and manufacturing sectors.”

Through the Manufacture and Build to Recover program, the government will incentivise qualifying manufacturing and construction projects in four areas; general construction, general manufacturing, factory construction, and project performance. Incentives include Value Added Tax (VAT) waivers on imported and domestically sourced construction materials, and VAT exemptions for domestically sourced raw materials and machinery.

Despite the physical restrictions brought about by the COVID-19 pandemic, RDB has continued to offer aftercare services to investors to ensure that business projects are implemented free of avoidable impediments. Investors continue to be engaged through different digital platforms and through physical site visits where necessary.

In terms of investor facilitation, RDB operates a One-Stop Centre for investors, which provides information and services to guide investors through the key steps of starting a business such as registration, licenses, immigration, land, utilities, environmental clearances and tax and mortgage registration services.

FDI wamesema ni 51% ya total investment maana yake FDI yao inachezea kwny $650mil.
 
Back
Top Bottom