Waliohubiri mitano tena kwanini wanahubiri mitano inatosha?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
JPM tuliambiwa mitano Tena, leo hii wakongwe wanasema mitano inatosha. Wamefika point Hadi kwenye gazeti wakaandika mitano inatosha, je Kama wanachama wanaamini mitano inatosha wananchi watalazimishwa na dola kutoa mitano tena au tume itasiadia wananchi kutekeleza kauli mbiu ya mitano inatosha?
 
Apo wamepigwa tozo za uzalendo+makato heavy ya miamala.mitano ati inatosha,makombora yanakuja mazito mpaka akili zitusogee

@cc voda+halo 16/8 wanajambo lao Mana msg wametuma
 
Nafurahi kukuona tenaaa,nilijua wewe ni Fr Kalugendo(RIP).
Ila usituage tena komredi.
 
Kumsimamisha ⏰ 100 tena ni kuwapa ccm Kazi kubwa Sana jinsi ya kuiba kura
 
Gas ,mafuta yote ya kupikia na ya gari,mimala,masokoni hali mbaya,pombe bei ghali dah
 
Back
Top Bottom