Hata kama ungekua wewe ni Sabaya lazima ungejitetea alivyojitetea leo

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya,

kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo,

kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale aliyatenda ila kwa maelekezo kutoka kuu, kifuatacho na Rais Samia atatajwa

sasa tunasubiri DR Mpango na Gavana wa Benki muitwe mahakamani kutoa ushahidi,

Ahsanteni
 
Sabaya kaongea mambo ambayo wala hatukupaswa kujua kama kweli alitumwa na mamlaka. Anamtaja Dkt. Mpango katika sakata lake hata kama anajua kilichompeleka Arusha au Moshi hayakuwa mambo ya kuweka hadharani kwa sasa huyo Mpango ni Rais siyo tena waziri. Asitafute huruma kama ni mission maalumu iishe kwa siri kama ilivyoanza.

Ukitumwa mission ya siri hata kama utakuwa unakufa itunze siri, Sabaya anaogopa kufungwa?
 
Sabaya kaongea mambo ambayo wala hayakupaswa kujua kama kweli alitumwa na mamlaka. Anamtaja Dkt. Mpango katika sakata lake hata kama anajua kilichompeleka Arusha au Moshi hayakuwa mambo ya kuweka hadharani kwa sasa huyo Mpango ni Rais siyo tena waziri. Asitafute huruma kama ni mission maalumu iishe kwa siri kama ilivyoanza.

Ukitumwa mission ya siri hata kama utakuwa unakufa itunze siri, Sabaya anaogopa kufungwa?
Wewe unadhani Sabaya ni mjinga?!
 
Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya,

kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo,

kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale aliyatenda ila kwa maelekezo kutoka kuu, kifuatacho na Rais Samia atatajwa

sasa tunasubiri DR Mpango na Gavana wa Benki muitwe mahakamani kutoa ushahidi,

Ahsanteni
View attachment 1891235

Chuma hunoa Chuma
 
Nikiangalia viongozi wote wa serikali wakiapa, kuna vijimaneno wanavisema
"...Na kwa vyovyote vile sitatoa siri nitakazozijua katika kutimiza majukumu yangu isipokuwa kwa idhini ya Rais..."
 
Hiyo order upewe wewe tu kati ya wakuu wawilaya 180plus bado hanging akini aiseee.Mbona mkuu wa wilaya Arusha hakupewa order ya kunyanyasa watu.Akafie uko
 
... DPP aingilie haraka hii kesi na kale ka-power kake ka "nolle prosequi". Ndio chaka wanamojisitiri wanapoona wanaenda kuumbuka!
 
Moja ya kazi aliyotumwa Sabaya ni kuimaliza Chadema Hai na kihakikisha Mbowe harudi bungeni.
 
Ni mjinga kuanika mambo ya mamlaka hadharani. Kwa maana hiyo kila atakayefanya mambo kama ya Sabaya tutajua katumwa na mamlaka.

Kachafua mamlaka.
Hata marehemu anaweza kumkana.

Operation zake nyingi amezifanyia nje ya eneo lake (operation kwa mujibu wa utetezi wake).
Sasa kama alikuwa akiagizwa, ilishindikana vipi kuhamishiwa huko alikofanyia matukio yake au hata kuongezewa mamlaka kutoka ngazi ya wilaya hadi mkoa?? Maana aliyemtuma alikuwa mamlaka ya kufanya hivyo.
Longekuwa tukio moja pekee utetezi ulikuwa na mashiko.

Ipo siku viongozi wa juu wataanza wenyewe kukemea matumizi mabaya ya maneno 'ni maagizo kutoka juu' maana yameanza kuleta athari za wazi.
 
Sabaya kaongea mambo ambayo wala hatukupaswa kujua kama kweli alitumwa na mamlaka. Anamtaja Dkt. Mpango katika sakata lake hata kama anajua kilichompeleka Arusha au Moshi hayakuwa mambo ya kuweka hadharani kwa sasa huyo Mpango ni Rais siyo tena waziri. Asitafute huruma kama ni mission maalumu iishe kwa siri kama ilivyoanza.

Ukitumwa mission ya siri hata kama utakuwa unakufa itunze siri, Sabaya anaogopa kufungwa?
Huo ni uzwazwa mkuu , watu wamemrushia matusi ya kila aina humu tena wakifurah , huku Raisi Samia akishangiliwa kuwa anaupiga mwingi , unasema iwe Siri kivip chief, mamlaka zenyewe zilishindwa kutambua kuwa walimpa kazi maalumu mpak wakaamua kumdhalilisha vile na mwisho wa sku hakuna aliyekuwa anajali wote wapo na na vi 8 , aisee hata Mimi nawalipua...!!!inashangaza Sana mama Samia akiwa makamu wa Raisi anamfukuza kazi kijana na kumwacha adhalilike vile wakat huo ofsi yake ilihusika direct na ambacho kijana alifanya ,tulipiga kelele Sana humu kuwa sabaya asifamywe mbuzi wa kafara sababu alikuwa Hai Kwa kazi maalumu huku mwenyekiti wa CCM Maghufuli alitambua Hilo ndo mana tuhuma zake alipuuzia zilipokuwa zikipelekwa kwake ,leo hii ofsi hiyo hyo haijali kijana akiwa mahabusu ni ajabu Sana ...!!! Tulisema wazi kuwa aliyoyafanya sabaya ofisi ya Raisi inatakiwa kuwajibika , watu wakamwacha kijana ajifie ...!! Amefanya good move Sana kongole kwake
 
Ni wazi kabisa kwa mtililiko ule wa ushahidi uliotolewa na mashahidi wa upande wa mashtaka, ile kesi ilimlemea sabaya,

kwa vyovyote vile mawakili wa Sabaya waliona hawachomoki hapo ndipo wakaamua kumshauri aongee alichozungumza leo,

kwa namna nyingine Sabaya amekiri kwamba matukio yale aliyatenda ila kwa maelekezo kutoka kuu, kifuatacho na Rais Samia atatajwa

sasa tunasubiri DR Mpango na Gavana wa Benki muitwe mahakamani kutoa ushahidi,

Ahsanteni
View attachment 1891235
Amefanya Vizuri sana

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom