pasi padinde
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 281
- 299
Angalau viwanja vya mpira kila mkoa kama kiwanja cha DaresSalaam cha Rais mstaafu Benjamini mkapa...,,,Rais hili unaweza.
2. Daraja toka DaresSalaam mpaka zanzibar ili kuifanya zanzibar isijione ni nchi bali mikoa kama mikoa mingine ..... hili unaweza.
3. Uwanja wa ndege uwe mmoja tu mkubwa yaani ndege zote zinazotoka nje zitue kwanza DaresSalaam alafu ziwepo ndege ndogondogo zinazowapeleka maeneo mbalimbali nchini . Kuzuia wizi na ufisadi toka nje .
4. Bandari ziwe kama ifuatavyo
Tanga
Bagamoyo
DaresSalaam
Lindi
Mtwara
Hizi ziwe kubwa ili kurahisisha uchumi wa nchi
5. Kubadilisha mitaala ili kuzalisha elimu ya kujitegemea sio ya kuajiriwa yaani kuwa na vyuo vikuu kila mkoa kulingana na kile kinachohitajika katika mkoa huo.
Mfano kilimo
Madini
Ufugaji
Umeme
Uvuvi
Misitu
Ualimu
Engineer
Na kiwepo chuo kikuu special cha vipaji maalumu wazalishwe hapa hapa hii ni kuchukua wale ambao wana akili zilizopitiliza wabunifu wa mambo.
Kuweka viwanda nchi nzima vikubwa
Kilimo
Madini
Uvuvi
Misitu
Nk.
Kuwe na serikali ya majimbo ambayo itafanya uwajibikaji mkubwa. Yaani mkuu wa mkoa afanye kazi ionekane akiulizwa ulikabidhiwa mkoa una hospital mbili sasa zipo ngapi? Shule ngapi?
Usafiri wa tren za umeme nchi nzima kuunganisha angalau mikoa mitano mikubwa mfano DaresSalaam mwanza mbeya dodoma na Morogoro na mikoa ya kimkakati ya uchumi ni Iringa ruvuma mtwara lindi kigoma Kilimanjaro kagera tanga na mara
Ongezea na wewe.