Kigaila: Mbowe amekula chakula ambacho hajui nani amekileta

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
"Ukitaka kujua nia ovu iliyopo, kwa mujibu wa sheria mtuhumiwa akikamatwa na Polisi akapelekwa kituo cha Polisi ana haki ya kutembelewa na ndugu zake, kupelekewa chakula na kutembelewa na Mawakili. Mwenyekiti akiwa Oysterbay Polisi walikataza kuonana na familia yake."

"Familia inapeleka chakula, Polisi wanapokea, familia haimwoni mwenyekiti. Polisi wanampelekea chakula mwenyekiti bila yeye kujua nani ameleta, maana yake usalama wa mwenyekiti wetu tutaudai mikononi mwa Jeshi la Polisi."

"Mwenyekiti amekula chakula ambacho hajui nani amekileta. Kwa mujibu wa sheria za Polisi na Magereza kama mtu ameletwa chakula lazima aliyeleta aonekane na aonje mbele ya Polisi na mbele ya mtu aliyeletewa, kuwa kipo salama. Wamezuia ndugu, anayeonja chakula ni nani?

"Watu waliokamatwa wapo Mburahati, Buguruni, Sarenda, Polisi Kati na maeneo mbalimbali wamekataza ndugu zao na mawakili wasiwaone na ndugu zao wakipeleka chakula wanapokea Polisi na kuwapa chakula, tunajuaje usalama wa chakula ambacho kinabaki mikononi mwa Polisi?"" - Benson Kigaila
 
"Mwenyekiti amekula chakula ambacho hajui nani amekileta. Kwa mujibu wa sheria za Polisi na Magereza kama mtu ameletwa chakula lazima aliyeleta aonekane na aonje mbele ya Polisi na mbele ya mtu aliyeletewa, kuwa kipo salama. Wamezuia ndugu, anayeonja chakula ni nani?" - Benson Kigaila
Wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na mbowe
 
"Mwenyekiti amekula chakula ambacho hajui nani amekileta. Kwa mujibu wa sheria za Polisi na Magereza kama mtu ameletwa chakula lazima aliyeleta aonekane na aonje mbele ya Polisi na mbele ya mtu aliyeletewa, kuwa kipo salama. Wamezuia ndugu, anayeonja chakula ni nani?" - Benson Kigaila
Kwa nini na ye amekula, si anajua utaratibu wa magereza.?
 
"Mwenyekiti amekula chakula ambacho hajui nani amekileta. Kwa mujibu wa sheria za Polisi na Magereza kama mtu ameletwa chakula lazima aliyeleta aonekane na aonje mbele ya Polisi na mbele ya mtu aliyeletewa, kuwa kipo salama. Wamezuia ndugu, anayeonja chakula ni nani?" - Benson Kigaila
Order from above, wavaa magwanda wao kazi yao ni kufua amri zitokazo juu. Kazi yao haiwaruhusu kutumia akili(kama wanazo).
 
"Mwenyekiti amekula chakula ambacho hajui nani amekileta. Kwa mujibu wa sheria za Polisi na Magereza kama mtu ameletwa chakula lazima aliyeleta aonekane na aonje mbele ya Polisi na mbele ya mtu aliyeletewa, kuwa kipo salama. Wamezuia ndugu, anayeonja chakula ni nani?" - Benson Kigaila
Hili nalo linaongea upumbavu gani? Sasa kama wa kuonja hakuwapo huyo mwenyekiti wenu alikulaje chakula ambacho hakijakidhi matakwa ya kisheria? Kigaila anakuwa kama chizi wakati mwingine!
 
Kamanda akidhurika mama atarudi kwao bila kupenda.
 
Na yeye anakulaje chakula ambacho hajui aliyeleta aisee???? Seriously anapaswa kuchukua tahadhari sana.
 
Kukaa kimia ni busara ,kuliko kuonyesha usivyo na akili mbele za watu , alikwbia wakuonja chakula hakuepo nani? Umembiwa hata ndugu kuwaona Jamaa zao hawarusiwi, utaratibu wa ovyo kabisa na kinyume Cha taratibu, ipo siku mtu atakuja fia mikoni wa police, akadhulika mikononi wa police ,ndo utakumbuka kuandika ujinga wako apa
Hili nalo linaongea upumbavu gani? Sasa kama wa kuonja hakuwapo huyo mwenyekiti wenu alikulaje chakula ambacho hakijakidhi matakwa ya kisheria? Kigaila anakuwa kama chizi wakati mwingine!
 
Kwisha habari yake kamanda Mbowe. Lkn bibi maushungi laana hii haitamwacha salama.
 
Hili nalo linaongea upumbavu gani? Sasa kama wa kuonja hakuwapo huyo mwenyekiti wenu alikulaje chakula ambacho hakijakidhi matakwa ya kisheria? Kigaila anakuwa kama chizi wakati mwingine!
Kumbuka, there is always tomorrow
 
Back
Top Bottom