CHADEMA ni dhahiri mmeumia kisiasa ila hakuna budi mnatakiwa kuunga juhudi. Mkijitenga mtaumia zaidi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mtafanya nini zaidi ya kuacha mafarakano? Maana taifa lina hitaji amani na mshikamano.

Sheria imefuata mkondo, mwamba yupo mahabusu. Hapa ni kusubiri sheria ifuate mkondo.

Hakuna haja ya kuwa na vinyongo, ungeni juhudi ili taifa lipate maendeleo. Hii ina maanisha kuwa mkubali matokeo na kuacha sheria ifuate mkondo.

Ungeni juhudi ili wananchi wapate maji, umeme, chakula na utawala bora.

Hili taifa ni la watanzania wote.
 
Pole sana mama wa Davis corner
humu zilikuwemo ID'S nyingi sana zilizojaribu kushambulia Chadema kama unavyofanya , lakini zilikopotelea hata hakufahamiki , japo taarifa za uchunguzi zinaonyesha kwamba wengi wao wamekufa baada ya kupukutishwa na Mungu .

Kuwa makini
 
Mungu hapangiwi mama wa Tandika.
 
humu zilikuwemo ID'S nyingi sana zilizojaribu kushambulia Chadema kama unavyofanya , lakini zilikopotelea hata hakufahamiki , japo taarifa za uchunguzi zinaonyesha kwamba wengi wao wamekufa baada ya kupukutishwa na Mungu .

Kuwa makini
Tuache mafarakano. Tujenge taifa huu ushauri mzuri. Acha hasira kamanda.
 
Back
Top Bottom