Mwanasiasa asiyependa Vurugu anapowekwa jela kwa muda mrefu anatengenezewa " Uhalali" wa kukubalika kisiasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,872
Tunakumbushana tu

Hii ilitokea kwa Nelson Mandela.

Ikatokea kwa maalim Seif

Imetokea Zambia

Na labda itatokea kwingineko duniani.

Wanasiasa wanaohubiri Upendo na Amani wakiwekwa jela kwa muda mrefu hutengenezewa UHALALI wa wao kukubalika kisiasa bila jasho jingi.
 
Ok,yajayo yanafurahisha
 
Bahati mbaya siasa, wanasiasa na wananchi wa Tanzania wako tofauti sana na kwingineko duniani.
 
Back
Top Bottom