IGP Sirro kinachofanywa leo na TBC ndicho kitakachofanywa na CHADEMA siku ya 4/09 huko Mara hivyo huna haja ya kuzuia

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Leo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI.

Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba.

Sasa na CHADEMA nao watajadiri hivyo hivyo katiba mpya siku ya tarehe 04/09 huko Mara.

Sasa IGP Sirro kama ulivyowaacha TBC wajadiri katiba mpya kwa Uhuru bila kuwaingilia basi tunaamini na CHADEMA nao utàwaacha wajadiri katiba mpya huko Mara bila kuwaingilia.

Uzi upo wazi kabisa.
 
Kwakweli IGP sirro anajiaibisha. Hata kama anataka astafu na maslahi mazuri lakini si kwa stahili hii.

Hata hivyo lawama hizi zimwendee moja kwa moja Mama Samia ambaya hana nia njema ya kujenga nchi ya amani na mshikamano.
 
Back
Top Bottom