Is there any political instability in Tanzania? Kuna mgogoro wa kisiasa au hakuna?

Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
184
987
Straightly forward, kuna mgogoro wa kisiasa nchini au hakuna? Kama kuna migogoro ya kisiasa tinajengaje uchumi wa nchi? Umewahi kuona wapi inawezekana hiyo?

Kama hakuna mgogoro wa kisiasa ni kwanini kiongozi wa Chama kikuu cha upinzani nchini yupo ndani hadi sasa? Ni kwanini wanachama wake wametapakaa katika magereza mbali mbali hapa nchini na wana kesi lukuki?

Tunataka tuwaaminishe vipi wadau na wawekezaji kua kuna utulivu wa kisiasa wakati haya yanatokea nchini? Mama anashauriwa na nani kukiwa na hali kama hii tutajenga uchumi?

Kwahiyo tuamue moja, tujenge uchumi huku kila siku makesi mahakamani, maandamano na kamata kamata kila mahali au tuwasikilize wanaotaka kuandamana tukubaliane tutulie kisha tujenge uchumi tukiwa watulivu? Lipi bora zaidi? Uchumi wakati wa vurugu au uchumi wakati kuna utulivu?
 
Heading ya Kiingereza na tafsiri yake inayoonekana kama ni Kiswahili ni ya kijinga na upuuzi.Kwa nini usiulize wanaojua wakuelekeze ? Chukua muda kijifunza ili baadae uandike jambo lenye tija siyo ujinga huu.
 
Back
Top Bottom