comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,211
- 5,937
"Baba wa Taifa Julius Nyerere akisalimiana na Baba yake Mbowe Aikaeli Alfayo Mbowe Tuna Historia na Nchi hii nafikiri kipindi hiki kuna watu walikuwa wanachunga Mbuzi makwao" - James Mbowe
Siyo kura tu, na mabakuli kwenye mikutano ya hadhara, unadhani kwa nini wanalilia mikutano ya hadhara?Haohao wachunga mbuzi ndo baba yako huzunguka akiwaomba Kura ya chama chake.
Ruzuku mnazotafuna ni matokeo ya Kura za wachunga punda, mbuzi.
Ana mdomo mchafu huyu kijana,Labda katumwa.Siyo kura tu, na mabakuli kwenye mikutano ya hadhara, unadhani kwa nini wanalilia mikutano ya hadhara?
Akiozea sero wewe na ukoo wako mnafaidi nini?Hata bin laden alikuwa ukoo wa kifalme ,wacha mbowe aozee sero
USSR
Nasikiaga Freeman ni mtoto wa Nyerere.sijui ni kweli?
Hata mwendazake alikua jambazi muuaji ndio maana akawatuma akina sabaya wakaibe kwa silaha. Acha aozee motoni.Hata bin laden alikuwa ukoo wa kifalme ,wacha mbowe aozee sero
USSR