Hii ndio Taarifa iliyotolewa na waandaaji wa kongamano hilo
Magwiji kadhaa wa Mambo ya katiba watakuwepo na watatoa mada
MUHIMU : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
Wanna jamvi?
Nimeuliza maswali mengi sana mpaka nikajikagua Mimi mwenyewe na wenzangu ninavyosikia sauti zao huku mitandaoni kuhusu kufanya Jambo ambalo unataka na wenzako washiriki kwa Nia nzuri...
Tatizo kuu la upinzani Tanzania ni kutokuwa na umoja, Kila chama kinajali maslahi yake binafsi!
Kuingia katika mtifuano wa hoja na CCM ambayo inafanya kazi kwa mgongo wa kukandamiza sheria...
Kila kitu kinachofanyika, kutendeka au kutendwa, kinapaswa kuwa katika kiwango ambacho hakipungui sana au kuzidi sana(kiwe within reasonable limits).
Kwa msingi huo, hata viongozi wetu katika...
Sioni kama ana mikakati ya kuimarisha chama chetu.
Ishu ya akina Covid 19 imemshinda kabisa pamoja na kuwa ilikuwa turufu kwetu.
Sioni akipambana kupinga uonevu wa CCM kama ilivyokuwa Dk Slaa...
Nsato Marijani, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi pamoja na vigogo wengine wa serikalini wanatuhumiwa kushindwa kumsaidia Mtanzania Abdulswamadu Zacharia Omary (36) anayedai...
Habari wadau..!
Katika moja ya Halmashauri ambazo zina changamoto nyingi sana ni hii Temeke kwa hapa Dar es Salaam.
Temeke ina kero nyingi sana zikiwapo matumizi ya madawa ya kulevya kwa...
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana?
Kwanza napinga uzalishaji wa...
Hiki chama ..kinatakiwa kufutwa haraka sana .
Watu wengi wenye nia ovu na Taifa letu wamejifichà katika kivuli cha hiki chama.
Wananchi wengi wanahitaji Amani ya kweli.
:pPendekezo msajiri ebu...
Huu ndio ulikuwa mradi wa kwanza kabisa mkubwa na wa Uhakika wa Maji safi ya bomba Wilayani Kyela , ulianzia Kasumulu ukapita Lubele, Mbako, Kilasilo, Ibungu, Lupembe, Muungano, Ikolo hadi ziwani...
Rais SSH ulisema suala la tozo linafanyiwa kazi na muda si mrefu litatolewa uamuzi. Kitu cha kushangaza uamuzi baada ya kufanyika wewe umejificha Ikulu anamtuma waziri wa fedha kuja kulitolea...
Heshima sana wanajamvi,
Askofu Mkuu sana Dkt. Gwajima kaja na style ya aina yake katika kuomba kura jimbo la Kawe.
Mosi Dr Gwajima kaja na ahadi ya kutuletea maboat ya uvuvi vijana wa Kawe...
"Mliobaki mnajifunza sasa, sio kila mtu anapenda Askari Polisi wala Vyombo vya Dola, kwa sababu wakati mwingine tunaambiwa tunatumia nguvu sana au hatutendi haki, lakini yanapotokea hapa sisikii...
Wadau Nawasalimu.Kwa heshima na Taadhima naomba Kuelimishwa kama Raia wa Nchi hii.
[emoji117]Je iwapo Chama cha Siasa Kinataka Kufanya MKUTANO wa Ndani au wa HADHARA kwa WANACHAMA wake ni...
Kutopewa hati ya wito ni miongoni mwa sababu zilizotajwa na mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ashindwe kufika mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuendelea na shauri la tuhuma...
Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya...
Kimsingi kuna kitu hakifahamiki vizuri kwa wananchi, vyombo vya usalama nacho ni neno UGAIDI na kama wanakifahamu vizuri basi wanapotosha purposely.
Neno ugaidi lina maana ya Tishio, au kitendo...
Mchungaji Matsai wa KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari zote za Corona hasa kunawa mikono kila wakati kwani ugonjwa huu upo na unauwa.
Matsai amesema waumini wawili wa Kanisa...
Jerry Silaa ambaye ni mheshimiwa mbunge wa ukonga kwa tiketi ya CCM, leo saa 4 asubuhi anatazamiwa kuletwa mbele ya kamati ya maadili ya bunge akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Aidha...
Afisa balozi Wa Tanzania nchini Malaysia APOLONILA MWANGOSI amefariki Hapohapo baada ya gariyake kuingia kwenye maji.
====
Ofisa Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia, Apolonia Mwangosi (46)...