Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Tanzania kupitia Dira ya maendeleo ya Taifa imelenga kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, miaka minne ijayo. Lengo hilo lilitazamiwa kufanikiwa kupitia sekta ya elimu na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawaza sana tukio la leo 25.08.2021 kijana mmoja kuua askari watatu, kuchukua siraha zao na kisha majibizano kati yake na polisi kudumu kwa muda mrefu. Kwa tuliofanikiwa kuona clip za video...
17 Reactions
43 Replies
6K Views
Hiki ni kipande cha ripoti ya Sky News, moja ya shirika la habari la binafsi huko Uingereza. Ni kipande kilichorushwa tarehe 8 mwezi Juni mwaka huu. Ni kipande kinachozungumzia jinsi ambavyo...
36 Reactions
168 Replies
16K Views
Kwa maarifa niliyo nayo ya kipelelezi na kwa tarifa za ndani kutoka system lililotokea jana karibu na ubalozi wa ufaransa ni mkakati wa kutihamisha katika ajenda ya kitaifa KATIBA MPYA na...
2 Reactions
7 Replies
868 Views
Niko hapa leo hii kutoa maoni yangu juu ya msiba mzito uliotupata Watanzania. Binafsi nikiangalia chain ya Serikali ya Dkt. Magufuli, ni Bashiru Ally pekee ndiye mwenye uwezo wa kuvivaa viatu...
18 Reactions
233 Replies
24K Views
Rais Samia amewataka polisi wachache wanaojihusisha na rushwa kuacha mara moja tabia hiyo. Akizungumza nu maafisa wa jeshi la polisi Rais Samia amesema nj sawa na kupasua mayai 20 na yai moja...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Antony Mtaka alipokuwa anawasilisha taarifa ndani ya vikao vya CCM vilivyofanyika mkoani humo.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni zaidi ya Msaa 8 hivi kupita baada ya tukio la leo 25/8/2021 kubwa kwa nchi yetu, hatujapata kuwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga kwa risasi nadhani tangu Tanganyika ipate Uhuru wake, Ni tukio...
12 Reactions
34 Replies
5K Views
Baada ya kuingia kwenye kamati ya Haki Maadili Na Madaraka ya Bunge Gwajima amegoma kukaa kwenye kiti alichoandaliwa na kukisogeza pembeni. Alipoulizwa na mwenyekiti Emanuel Mwakasaka kwanini...
29 Reactions
149 Replies
19K Views
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Mthamini wa Serikali katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi. 1. Ndugu Muchi Juma Ameir ameteuliwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema...
12 Reactions
105 Replies
12K Views
Rais Samia ameliagiza jeshi la polisi kuhakikisha linakamilisha upelelezi kwa haraka na kuwaachia huru watuhumiwa ambao kesi zao hazina mashiko. Rais amesema hivi sasa idadi ya wafungwa...
9 Reactions
105 Replies
51K Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anaongelea mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Dar. Miongoni ni suala la wamachinga na kupoa kwa Serikali baada ya kutoa tangazo la kuwaondoa. RC Makala amesema kwasasa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Baadhi ya Watumishi wa Jeshi la Polisi wanashutumiwa kutofanya Haki kwa Jamii, akisema hali hiyo inapotokea Jeshi linakuwa mstari wa mbele kujitetea pasipo kuangalia upande wa pili. Ametolea...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemuhoji mbunge Jerry Slaa, mbunge wa Ukonga, kwa tiketi ya CCM, kutokana na amri iliyotolewa na Spika wa Bunge hilo, Job Ndugai, kwa madai kuwa...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba kuungana na Balozi wa Marekani Nchini kwa pongezi alizotoa kwa jeshi letu, kweli walifanya kazi stahiki kwa wakati. Zipo clip zinadai askari mmoja aliyevaa kiraia nusura ashambuliwe na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wadau! Jana nilipata nafasi ya kwenda wilaya ya Temeke kupiga misele baada ya jamaa yangu kuniomba nimtembelee nikapafahamu anapoishi kule Mtoni Kijichi Temeke. Binafsi kutokana na...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Maisha ya watu 5 wakiwamo wasiokuwa na hatia yamepotea jana, wengine wakijeruhiwa. Haya yakitokea katika kinachosemekana kuwa ni mwendelezo wa matukio ya dhuluma tokea kwa watu wenye dhamana ya...
10 Reactions
26 Replies
4K Views
Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi. Kama ni issue za...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Back
Top Bottom