Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Mbowe ni malaika hakksei wala hajawahi kukosea na kuna siku alinguka akiwa amelewa chakari bado nyumba wakawa wanamtetea
Kuwa kashambuliwa na wasiojulikana
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?

Wewe unapata wapi nguvu ya kumpinga Baba Askofu Dr Shoo ambae ni Mkuu wa KKKT na Mkuu wa CCT.

Huyu si Askofu Rashid au Nabii Geodav
 
Sasa naelewa ndiyo maana CHADEMA wakaruhusiwa kumuombea Mbowe dhidi ya serikali kwenye makanisa ya KKKT na kisha kuwaingiza pia RC huko Mbeya na Mwanza.
 
Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
Mmachame mwenzake. Huyu Baba Askofu anaeleweka issue ya mmachame ikitokea. Ingawa kwa hili la Mbowe anaweza kuwa na hoja kama kweli anachosema ndio kilichopo
 
Back
Top Bottom