Ombi: Serikali irudishe kodi ya kichwa

ndenjii handsome

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
647
704
Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo

Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati

Kodi si dhambi.

Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
 
Mkuu serikali irudishe kodi ya vichwa au kichwa?

Kichwa kipi sasa?
Unamaanisha?

Maana sisi wengine tuna vichwa viwili ina maana tutalipia Mara 2?
 
Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo

Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati

Kodi si dhambi.

Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Mkuu naona unahasira sana. Tutazoea tu.
 
Unataka kuwaua book 7?
 
Kodi ni sahihi isipokuwa pesa inayo kushanwa ionekane katika kujenga nchi.

Nadhani hata kodi ya matibabu ingeanzishwa. Kila mwezi mtu anakatwa kodi ya matibabu ya Afya.
Apate matibabu bure yaani kumuona daktari ni bure au matibabu makubwa ni bure.
Kodi ya elimu ambayo elimu iwe bure mpaka formIV.

Kila raia akatwe ukiwa una mto au huna mtoto , ukiwa mgonjwa au mzima, ukatwe.
Kila raia anayefanya kazi kujiajiri au kuajiriwa.?
 
Atcl imepata hasara na sasahivi ndege nyengine zipo njiani zina kuja, Ni njia nyepesi serikali kulipia ni kuweka kodi za kila aina.

Lunatic
 
Kodi ni sahihi isipokuwa pesa inayo kushanwa ionekane katika kujenga nchi.

Nadhani hata kodi ya matibabu ingeanzishwa. Kila mwezi mtu anakatwa kodi ya matibabu ya Afya.
Apate matibabu bure yaani kumuona daktari ni bure au matibabu makubwa ni bure.
Kodi ya elimu ambayo elimu iwe bure mpaka formIV.

Kila raia akatwe ukiwa una mto au huna mtoto , ukiwa mgonjwa au mzima, ukatwe.
Kila raia anayefanya kazi kujiajiri au kuajiriwa.?
Ingependeza sana
 
Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo

Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati

Kodi si dhambi.

Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo

Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati

Kodi si dhambi.

Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo

Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati

Kodi si dhambi.

Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Kweli kabisa kila kichwa iwe laki moja
 
Kama kuna Mtanzania halipi kodi kupitia miamala ya simu basi huyo hata kupata milo 2 kwa siku ni mtihani kwake
 
Back
Top Bottom