Anna Elisha Mghwira anarudi ACT? CCM atakaa kama mwanachama wa kawaida? Vitawezekana kweli?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,004
Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli?

Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?

Mghwira.jpg
 
Huyu mama nafikiri amefanya kazi yake vizuri pamoja na amepitia mengi sana na akidharauliwa na akina DC mbaya
Sioni tatizo hata akibaki CCM maana hakumtendea mtu yeyote ubaya wakati akiwa ACT na hata alipopata bahati ya kuteuliwa kuwa RC wa Kilimanjaro
Miaka 62 nadhani ameomba kustaafu ili alee wajukuu, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida maana haimpunguzii kitu. Makongoro Nyerere analingana na Mama Mghwira umri lakini jamaa ndo kalamba teuzi kwa mara ya Kwanza.
Amestaafu, kama nguvu zimeisha arudi ACT kufanya nini.
 
Au kustaafu kunakosemwa kuna maana nyingine ? Maana haiwezekani wote wafanane umri huku mmoja anastaafu mwingine anaajiriwa.

Kama yupo aliyeelewa jambo hili anieleweshe .

Angalizo: Hatuna ugomvi wowote na wawili hawa na wala hatupingi mamlaka ya uteuzi bali tunaomba kueleweshwa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom