ACT Wazalendo: Tunalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuvamia na kuzuia Kikao cha Kamati Kuu ya NCCR Mageuzi

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
499
1,000
Tumepokea Taarifa kuwa Jeshi la Polisi limevamia Ukumbi wa Msimbazi Center, Dar es salaam na kuzuia kikao Cha Kamati Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi kisifanyike kwa kisingizio cha tahadhari ya ugonjwa wa Uviko 19.

Chama kinalaani vikali hatua hii ya Jeshi la Polisi ambayo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Vyama vya Siasa.

Ni jambo linalosikitisha kuwa wakati Jeshi la Polisi likizuia shughuli halali za Vyama vya Siasa vya Upinzani kwa sababu mbalimbali ikiwemo Uviko 19, Matamasha ya Michezo Nchini yanaendeleaje pomoja na CCM kufanya shughuli zao ikiwemo vikao vya ndani na mikutano ya hadhara bila ya kuzuiwa utadhani wao ni malaika wasioweza kuugua wala kuambikiza Uviko 19.

WITO WETU:

Jeshi la Polisi lifanye kazi zake kwa weledi, haki na usawa. Jeshi liache kutumika kisiasa kwa kuipendelea CCM na kuvikandamiza.​

IMG-20210828-WA0003.jpg
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,336
2,000
ACT wazalendo hamna moral authority ya kulaani vitendo vya hovyo wanavyofanya hawa Polisi-CCM dhidi ya wananchi wema wa Taifa hili kwa sababu viongozi wenu mchana wanakuwa ACT halafu usiku wanakuwa CCM. Shame to you all!

Ninyi ACT wazalendo ni tawi la chama cha mapinduzi na mnashiriki indirectly katika maovu yote ambayo CCM wanawafanyia wananchi wema wa Taifa hii kupitia Polisi.
 
Townchild

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,571
2,000
Tumepokea Taarifa kuwa Jeshi la Polisi limevamia Ukumbi wa Msimbazi Center, Dar es salaam na kuzuia kikao Cha Kamati Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi kisifanyike kwa kisingizio cha tahadhari ya ugonjwa wa Uviko 19.

Chama kinalaani vikali hatua hii ya Jeshi la Polisi ambayo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Vyama vya Siasa.

Ni jambo linalosikitisha kuwa wakati Jeshi la Polisi likizuia shughuli halali za Vyama vya Siasa vya Upinzani kwa sababu mbalimbali ikiwemo Uviko 19, Matamasha ya Michezo Nchini yanaendeleaje pomoja na CCM kufanya shughuli zao ikiwemo vikao vya ndani na mikutano ya hadhara bila ya kuzuiwa utadhani wao ni malaika wasioweza kuugua wala kuambikiza Uviko 19.

WITO WETU:

Jeshi la Polisi lifanye kazi zake kwa weledi, haki na usawa. Jeshi liache kutumika kisiasa kwa kuipendelea CCM na kuvikandamiza View attachment 1912916

Kama matamko ya vyama ndugu yanatoka kweli mioyoni mwao ni jambo jema,ila kama ni katika kutafuta uwiano/justification itakapofika zamu ya chama hasimu kule mara.Tutajulia huko huko.
 
Townchild

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,571
2,000
ACT wazalendo hamna moral authority ya kulaani vitendo vya hovyo wanavyofanya hawa Polisi-CCM dhidi ya wananchi wema wa Taifa hili kwa sababu viongozi wenu mchana wanakuwa ACT halafu usiku wanakuwa CCM.Shame to you all!

Ninyi ACT wazalendo ni tawi la chama cha mapinduzi na mnashiriki indirectly katika maovu yote ambayo CCM wanawafanyia wananchi wema wa nchi hii kupitia Polisi.
+Akinaenisisiara mageuzo
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,864
2,000
Naona polisi wetu kama wamechanganyikiwa, sijui wamechanganywa na kitu gani.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,631
2,000
ACT wazalendo hamna moral authority ya kulaani vitendo vya hovyo wanavyofanya hawa Polisi-CCM dhidi ya wananchi wema kwa sababu viongozi wenu mchana wanakuwa ACT halafu usiku wanakuwa CCM.Shame to you all!

..unawaonea ACT.

..wanachama wa ACT wameuwawa na polisi ktk uchaguzi mkuu wa 2020.

NB.

..Jaji Aboubakar Khamis mjumbe wa kamati kuu ya ACT aliuwawa na Polisi ktk uchaguzi wa 2020.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,336
2,000
..unawaonea ACT.

..wanachama wa ACT wameuwawa na polisi ktk uchaguzi mkuu wa 2020.

NB.

..Jaji Aboubakar Khamis mjumbe wa kamati kuu ya ACT aliuwawa na Polisi ktk uchaguzi wa 2020.
Ni kweli waliuawa lakini kiongozi wao mkuu wa chama usiku anakuwa CCM kwa maslahi yake binafsi na hili wanachama wengi wa ACT wazalendo wala hawalijui.

Huwa anatumika na maCCM kukiuza chama.Ni msaliti namba moja wa ACT wazalendo.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,631
2,000
Ni kweli waliuawa lakini kiongozi wao mkuu wa chama usiku anakuwa CCM kwa maslahi yake binafsi na hili wanachama wengi wa ACT wazalendo wala hawalijui.

Huwa anatumika na maCCM kukiuza chama.Ni msaliti namba moja wa ACT wazalendo.

..lakini huo sio utetezi kwa haya yanayofanywa na Polisi na serikali dhidi ya vyama vya upinzani.
 
Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
12,354
2,000
Mama atasema amesikia malalamiko yenu na amenda kamati wayafanyie kazi... kamaliza hapo
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,603
2,000
Tumepokea Taarifa kuwa Jeshi la Polisi limevamia Ukumbi wa Msimbazi Center, Dar es salaam na kuzuia kikao Cha Kamati Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi kisifanyike kwa kisingizio cha tahadhari ya ugonjwa wa Uviko 19.

Chama kinalaani vikali hatua hii ya Jeshi la Polisi ambayo ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria ya Vyama vya Siasa.

Ni jambo linalosikitisha kuwa wakati Jeshi la Polisi likizuia shughuli halali za Vyama vya Siasa vya Upinzani kwa sababu mbalimbali ikiwemo Uviko 19, Matamasha ya Michezo Nchini yanaendeleaje pomoja na CCM kufanya shughuli zao ikiwemo vikao vya ndani na mikutano ya hadhara bila ya kuzuiwa utadhani wao ni malaika wasioweza kuugua wala kuambikiza Uviko 19.

WITO WETU:

Jeshi la Polisi lifanye kazi zake kwa weledi, haki na usawa. Jeshi liache kutumika kisiasa kwa kuipendelea CCM na kuvikandamiza View attachment 1912916

hii ndiyo kazi pekee anayoweza kuifanya sirro na nguruwe wake kwa ustadi
 
mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,318
2,000
Ni kweli waliuawa lakini kiongozi wao mkuu wa chama usiku anakuwa CCM kwa maslahi yake binafsi na hili wanachama wengi wa ACT wazalendo wala hawalijui.

Huwa anatumika na maCCM kukiuza chama.Ni msaliti namba moja wa ACT wazalendo.
Uhakika huo huna Bali ni ngoma za ccm kutaka kuutawanya upinzani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom