Askofu Gwajima ampa pole Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo vya askari polisi waliouawa na Hamza, awaonya wanaofurahia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.

Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.

Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema

Chanzo: Rudisha tb!
 
Hata yeye anayekataa watu wasichanjwe ni gaidi, tena kwa maneno yake anaweza kuua wengi zaidi watakaofuata ushauri wake, alidanganya anaweza kufufua watu kumbe hawezi, watu wakiugua na kufa kwa Corona anatakiwa kuwa responsible.

Kumpa pole Samia bila kufuata msimamo wa serikali anayoiongoza na Gwajima akiwa kama mshirika ni sawa na unafiki.
 
Wanaofurahia wana sababu zao. Watawaza wasiwabeze bali wajiulize kwanini watu wanaofurahia police kuuawa.
Ukijua matendo ya mwendazake yalivyokuwa mpaka watu wakashangilia baada ya kupata habari zake za kwendakuzimu, basi utajua sababu za watu kushangilia pindi mtu/kundi flani linapopata madhira.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.

Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.

Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema

Chanzo: Rudisha tb!
Tunataka Rashid Gwajima atuambie lini anaenda kuchomkewa chanjo
 
Hata yeye anayekataa watu wasichanjwe ni gaidi, tena kwa maneno yake anaweza kuua wengi zaidi watakaofuata ushauri wake, alidanganya anaweza kufufua watu kumbe hawezi, watu wakiugua na kufa kwa Corona anatakiwa kuwa responsible.

Kumpa pole Samia bila kufuata msimamo wa serikali anayoiongoza na Gwajima akiwa kama mshirika ni sawa na unafiki.
CCM = Chama Cha MAGAIDI
 
Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.

Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.

Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema

Chanzo: Rudisha tb!
Ameshindwa kutoa pole kwa kifo cha kada Hamza au kwa vile ni Muislam? Mbaguzi sana huyu Chidboy
 
Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.

Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.

Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema

Chanzo: Rudisha tb!
Kumbe wakati mwingine ana akili .
 
Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.

Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.

Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema

Chanzo: Rudisha tb!
Huyu nae apuuzwe tu, Hana jipya tena,
KWa Sasa ni

Free Mbowe vs Katiba mpya,

Yani utaipenda serikali ambayo waigopa kama ukoma kwamba mda wowote yaweza kukuddhulu mpaka ogopa kukalia viti vyao?

GWAJIMA ACHA ,mchezo huo
 
Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.

Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.

Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema

Chanzo: Rudisha tb!
Sisi tunampa gwajima pole kwakumpoteza mwanachama mwenzake wa ccm kwa kuuawa na polisi
 
Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda.

Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo.

Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema

Chanzo: Rudisha tb!
Ukiipata video ya alichoongea leo, itapendeza ukiipandisha kwenye huu Uzi!
 
Lissu mlimpiga risasi katika jaribio la kutaka kumuua ndio maana anaogopa magaidi wa ccm sasa huyu Askofu Rashidi naye anaogopa nini? au sindano za sumu? kama Mangula au Kolimba ?
Kwa hiyo mmembinafsishia haki ya kuogopa kifo siyo?
 
Hata yeye anayekataa watu wasichanjwe ni gaidi, tena kwa maneno yake anaweza kuua wengi zaidi watakaofuata ushauri wake, alidanganya anaweza kufufua watu kumbe hawezi, watu wakiugua na kufa kwa Corona anatakiwa kuwa responsible.

Kumpa pole Samia bila kufuata msimamo wa serikali anayoiongoza na Gwajima akiwa kama mshirika ni sawa na unafiki.
Gwajima hajawahi kataa watu wasichanjwe! Tatizo mnatumika mno hadi mnachefua. Msifikiri kujaza comments za matusi na kubeza JF ndiyo ushindi! Mmmeshindwa kujifunza kipindi cha Magufuli? Aliwaachia mtukane matusi na kupika story za uongo, lakini alijua watanzania wanataka nini na mwisho wa siku aliongoza kwenye uchaguzi.

Gwajima kasema wapewe uhuru wa kuchagua aina ya chanjo. Pili, waelezwa chanjo zina contents gani?, Tatu waelezwa kama chanjo imefanyiwa utafiti kama kuna madhara ya muda mfupi wa Kati na mrefu. Vile vile kwa nini serikali ambayo ilionyesha wasiwasi wa chanjo miezi4 iliyopita inageuka leo hii na kusema chanjo inafaa!

Badala ya kujibu hoja zake mnapeana zamu za kubeza na kutukana. Kisa Mbowe alisupport chanjo, na Gwajima kam blast!
 
Back
Top Bottom