Matangazo ya Bunge yasikatwe baada ya kipindi cha maswali na majibu

Jasusi Mbobezi

Senior Member
May 17, 2020
195
851
Kutokana na utaratibu wa kutoonesha Bunge live, kipindi kinachoonekana huwa ni kile cha maswali na majibu kisha mijadala inapoanza vituo hutakiwa kutika hewani.

Sasa leo tunaomba bunge tv litupatie yatakayojiri mwanzo mwisho. Tunataka tuone jambo letu.

Mwisho nawasihi Watanzania wenzangu kupata chanjo ya TOZO ili kuimarisha kinga ya kuipinga.
 
Siasa imezalisha vijana wa kulalamika kila kitu hata soksi zake akisahau alipoziweka
 
Kutokana na utaratibu wa kutoonesha Bunge live, kipindi kinachoonekana huwa ni kile cha maswali na majibu kisha mijadala inapoanza vituo hutakiwa kutika hewani.

Sasa leo tunaomba bunge tv litupatie yatakayojiri mwanzo mwisho. Tunataka tuone jambo letu.

Mwisho nawasihi Watanzania wenzangu kupata chanjo ya TOZO ili kuimarisha kinga ya kuipinga.
Hatuna bunge
 
Watanzania ni mafala tu,nani akupe vitu vizuri bure?!Vitu vizuri huwa vinapiganiwa kwa gharama kubwa.Unahitaji PhD kujua vitu vidogo namna hii?
 
Kutokana na utaratibu wa kutoonesha Bunge live, kipindi kinachoonekana huwa ni kile cha maswali na majibu kisha mijadala inapoanza vituo hutakiwa kutika hewani.

Sasa leo tunaomba bunge tv litupatie yatakayojiri mwanzo mwisho. Tunataka tuone jambo letu.

Mwisho nawasihi Watanzania wenzangu kupata chanjo ya TOZO ili kuimarisha kinga ya kuipinga.
Wanakataa kero za maji.
 
Back
Top Bottom