#COVID19 Leo askofu Gwajima ataongoza mjadala kuhusu Chanjo ya Corona utakaohusisha Wanasayansi bingwa duniani akiwemo mtengenezaji!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,750
139,548
Akihubiri kanisani kwake siku ya Jumapili askofu Gwajima alisema leo Jumanne ataongoza mjadala wa kidunia utakaohusu chanjo ya covid 19 kupitia mitandao ya kijamii.

Miongoni mwa washiriki ni mtengenezaji wa chanjo ya Pfizer na Watafiti wengine nguli wa Kemia na Baiolojia.

Nitawawekea hapa link panako muda muafaka.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Akihubiri kanisani kwake siku ya jumapili askofu Gwajima alisema leo jumanne ataongoza mjadala wa kidunia utakaohusu chanjo ya covid 19 kupitia mitandao ya kijamii.

Miongoni mwa washiriki ni mtengenezaji wa chanjo ya Pfizer na Watafiti wengine nguli wa Kemia na Baiolojia.

Nitawawekea hapa link panako muda muafaka.

Mungu ni mwema wakati wote!
Yule aliye claim kuwa ni mtengenesaji lakini ukienda kwenye link za Pfizer hayuko?

btw, sisi hatujachanja Pfizer so technologies are different
 
Anyone who listens to fake Pastor like Gwajima is stupid & fake as well.. Fake follows fake. Period.

Gwajima Ni mbabaishaji mmoja anayejitafutia umaarufu wa kitoto. Ni wa kuupuza.
BY THE WAY, vipi yale makatapila aliyoahidi kununua kwa ajili ya Kawe ndani ya siku 90 yameshafika Kawe?
 
Akihubiri kanisani kwake siku ya jumapili askofu Gwajima alisema leo jumanne ataongoza mjadala wa kidunia utakaohusu chanjo ya covid 19 kupitia mitandao ya kijamii.

Miongoni mwa washiriki ni mtengenezaji wa chanjo ya Pfizer na Watafiti wengine nguli wa Kemia na Baiolojia.

Nitawawekea hapa link panako muda muafaka.

Mungu ni mwema wakati wote!

Tuwekee kiongozi. Waliochanjwa, wanahofu ya kuujua ukweli. Ninaona kama wanaomba isiwe wameamua vibaya. Kwa hiyo wanaopt kutokujua, kama vile zamani watu walikuwa wanaogopa kupimwa ukimwi ili wasije wakajua kama wameambukizwa.
Weka mjadala kiongozi.
 
Ndiyo maana wazungu wanatuona manyani,yeye Gwajima anachanjo gani aliyoigundua ili waipime ubora,

Tapeli asiye mwanasayansi anafanya mahojiano na wanasayansi?
 
Akihubiri kanisani kwake siku ya Jumapili askofu Gwajima alisema leo Jumanne ataongoza mjadala wa kidunia utakaohusu chanjo ya covid 19 kupitia mitandao ya kijamii.

Miongoni mwa washiriki ni mtengenezaji wa chanjo ya Pfizer na Watafiti wengine nguli wa Kemia na Baiolojia.

Nitawawekea hapa link panako muda muafaka.

Mungu ni mwema wakati wote!
Wajinga kweli ndio waliwao. Watafiti wa kemia na baiolojia wanahusiana nini na chanjo? Na nani alimwambia kuna mtengenezaji mmoja chanjo ya Pfizer?

Amandla...
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom