Nashindwa kuamini hiki ninachokisoma kuhusu haya makato ya LUKU

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Ameandika Evans Rubara

I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.

Screenshot_20210820-213927_Twitter.jpg
 
Umejuaje hizo busara alipewa? Maisha yamepanda ghafla kiongozi nikuzurura nchi zawatu hajui mambo ndani yanavyoharibika!! Mafuta yakula/petroli juu,nyama juu,mitandao tozo, luku juu kilakitu kinapanda naye haoneshi umakini wwte!! Hopeless kwakweli tuna wazubaaji wawili pale juu watatuchelewesha mmmno
 
Ameandika Evans Rubara

I have just paid for Luku from @tanescoyetu this evening. Now @TRATanzania tell me what debt you have with me. This is fricking idiotic. Ndg. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia tuambie kama umeshindwa kuongoza hii nchi kwa busara alizokupa Mwenyezi Mungu.

View attachment 1900475
Sasa hivi hatuimbi tu wimbo, yaani na Namba zinasomeka vizuri kweli kweli.
Nchi wamekabiziwa majambazi, Samia, Mpango , Majaliwa na Mwigilu.
MaCCM yote yamelaaniwa. Watanzania tunateswa sana na CCM.
 
Mimi nimenunua umeme wa 50,000 sasa hivi, ujumbe wangu huu hapa

Cost 39,344.27
VAT 18% 7,081.96
EWURA 1% 393.44
REA 3% 1,180.33
Debt Collected 2,000.00
TOTAL 50,000.00 20/08/21 22:19

Yaani nimepata umeme wa 39,344 tu, elfu 10,656 ni jumla ya makato,,,, makato ya kununua umeme ni makubwa zaidi kama tozo ya kutuma hela....... hapo ukumbuke, nimenunua kwa simu, tigopesa wamenikata 1,000 ya zaidi....... hii nchi inajitafutia laana, hela ya dhuluma haijengagi hata siku moja
 
Muda huu baada ya kuona huu uzi , nimetest kununua units za miatano (chini ya kiwango chao wanachotaka 1000tsh), ngoma inagoma kabisa wanadai eti "tender more money😝"

Nimemwambia mke wangu ajaribu na yeye wanamuandikia hivyo.

Nilichogundua ni kwamba hii tozo ya luku atakatwa mtu yoyote bila kujali anamiliki nyumba au laa

Huu ni upuuzi mkubwa sana,yani hawaridhiki na hela za miamala na mafuta sasa wamehamia kwenye LUKU, na kibaya zaidi hela zetu zinatumiwa na mpumbavu mmoja kufanya ziara za kijinga tu, kutwa anazunguka na misafara kwenye nchi za watu kijinga kijinga tu.

Muda si mrefu watatuletea na Tozo za pumbu Sasa🤒.
 
Back
Top Bottom