Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,511
Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima.

Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa sipendi mwita Askofu) lakini inaonekana wote aliwazidi akili kabisa.

Yaani mtu kukataa kiti na mic nalo ni kosa kwao? Kwani kuna ulazima wa wewe kukaaa au kukalia kiti ambacho walimwandalia? Kwa nini hili limewauma?

Walipaswa to just ignore but mpaka kuliongelea suala hilo ina maana limewauma sana.naanza jiuliza hapa si itaonekana kuna kitu walipanga na sasa kime fail?

Hii kamati inaonekana haikuwa na la maana hata hakukuwa na watu smart. Je hamna wana sheria ambao wange refer Katiba na Sheria zinasemaje?

Huu ni wendawazimu. Wamezidi kumkuza Gwajima na kumpa ushindi rahisi sana. Nmechukia sana.
 
Naona wanalazimishana hadi kukalia viti
Wamenishangaza sana ... Hoja hawana kabisa....wakati pale ndo palikuwa sehemu ya kumwangusha Gwajima. Hawajaweka hata vifungu vya kuonesha alichokosea Gwajima.....very stupid kabisa.
 
Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima.

Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa sipendi mwita Askofu) lakini inaonekana wote aliwazidi akili kabisa.

Yaani mtu kukataa kiti na mic nalo ni kosa kwao? Kwani kuna ulazima wa wewe kukaaa au kukalia kiti ambacho walimwandalia? Kwa nini hili limewauma?

Walipaswa to just ignore but mpaka kuliongelea suala hilo ina maana limewauma sana.naanza jiuliza hapa si itaonekana kuna kitu walipanga na sasa kime fail?

Hii kamati inaonekana haikuwa na la maana hata hakukuwa na watu smart. Je hamna wana sheria ambao wange refer Katiba na Sheria zinasemaje?

Huu ni wendawazimu. Wamezidi kumkuza Gwajima na kumpa ushindi rahisi sana. Nmechukia sana.
Askofu Gwajima ni SHUJAA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Me nawashangaa sana wanaleta upuuzi eti kakataa kukaa sijui mic huko mambele mtu akihojiwa au chchte anaruhusiwa kuwa position yyte ambayo yeye ataona yupo comfortable kujibu, na wao wanashindwa kufatilia vitu vya msingi hata waendelee na research ya chanjo wao wanamnanga gwajiboy tu
 
Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima.

Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa sipendi mwita Askofu) lakini inaonekana wote aliwazidi akili kabisa.

Yaani mtu kukataa kiti na mic nalo ni kosa kwao? Kwani kuna ulazima wa wewe kukaaa au kukalia kiti ambacho walimwandalia? Kwa nini hili limewauma?

Walipaswa to just ignore but mpaka kuliongelea suala hilo ina maana limewauma sana.naanza jiuliza hapa si itaonekana kuna kitu walipanga na sasa kime fail?

Hii kamati inaonekana haikuwa na la maana hata hakukuwa na watu smart. Je hamna wana sheria ambao wange refer Katiba na Sheria zinasemaje?

Huu ni wendawazimu. Wamezidi kumkuza Gwajima na kumpa ushindi rahisi sana. Nmechukia sana.
Huyu huko chamani watamla kichwaa
 
Kwani Gwajima kosa lake ni nini?
Kwani aliitwa na kamati kuhojiwa au kushindana nao?
Sidhani kama alikwenda kushindana nao. Mahojiano haimaanishi kushindana.
 
....ni kupinga chanjo ya UVIKO 19 ndiyo kosa lake.

....kosa lake ni kwanini amekataa kuwa mwenzao

....hayo mengine sijui kukataa kiti na kinasa sauti na kuikuza (mic) ni mbwembwe tu

NB: Ukisikiliza michango ya wabunge wakichangia hoja ya mashitaka ya Mch. Gwajima na Jerry Silas, wote hawana hoja, hawana sababu za kuwashtaki!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom