Yuko wapi James Lembeli aliyeahidi kurudi ccm mbele ya Magufuli?


M

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Messages
3,251
Likes
3,627
Points
280
M

Mtarban

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2015
3,251 3,627 280
Yuko wapi huyu mzee wetu ambaye kwa moyo mweupe alitoa ahadi mbele ya Rais Magufuli kuwa yuko tayari kukatwa mkia na kwa kurudi ccm kwa kuwa Magufuli anashughulika na Suala la Ufisadi ambalo ni miongoni mwa vilivyomkimbiza huko?

Yuko wapi kwa anayejua tafadhari atueleze?
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,265
Likes
55,189
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,265 55,189 280
Labda wameshamkata mkia anauguza kidonda
 

Forum statistics

Threads 1,273,317
Members 490,351
Posts 30,477,830