Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
Tuliwahi kusema humu katika mistake ambayo Gwajima aliifanya katika maisha yake ni kujiunga na CCM kisha kuhongwa ubunge!
Uchaguzi wa 2020 ulimuondolea credibility yote ambayo aliijenga katika jamii kwa muda mrefu mno…
Ile saa ya kufikishwa mbele ya kuhani mkuu imefika na this time atamalizwa hatainuka tena!
Nimemsikia askari mmoja wa sinagogi akikumbushia video ya Ngono ya askofu aliyosingizia sijui mkono wa baunsa!! Nimestushwa mno na kauli ile tena ya askari wa sinagogi dhidi ya mjumbe wa baraza Yao…
Kama nawaona mafarisayo na wakuu wa baraza walivyojipanga kumshitaki na kumshuhudia yote mbele ya kuhani mkuu KAYAFA!!
Swali baada ya hukumu ya KAYAFA Gwajima atasimama na nani akamwamini?
Naisubiria kwa hamu saa ile atakapoletwa mbele ya baraza!!