#COVID19 Spika Ndugai na Bunge lake waliwakebehi CHADEMA walipojitenga kuchukua tahadhari ya kuzuia COVID-19, leo analazimisha wabunge wachanjwe?

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,212
4,517
Nakumbuka mwaka 2020 baadhi ya wanunge wa CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe walipojitenga kuzuia maambukizi ya virusi vya UVIKO-19.

Ndugai pamoja na wabunge wenzake wa CCM waliwakebehi kwa maneno ya kuudhi sana. Kipindi cha Faru John wote walikuwa wanafuata upepo wa Faru John ili mikono iende kinywani, leo Faru John hayupo, kila mwana CCM anaimba pambio ya chanjo.

Hakika tatizo kubwa na namba moja ya Tanzania ni fikra za kinafiki zinazoendelewa na ma CCM.

Hoja ya Katiba mpya haikwepeki.
 
Wabunge wa CHADEMA walikuwa wanafanya maigizo ya kujikinga na corona, kama maigizo mengine yanayoendelezwa na "wataalam" wanaotuletea miongozo isiyotekelezeka!
 
Spika ubavu huo Hana wa kulazimisha mbunge yeyote kuchanja ni.kanuni za bunge zinazotakuwa kuridhiwa na bunge na si lazima kuchanja zaweza tumika tu method za social distance bungeni na barakoa Kwisha

Hiyo michanjo ikabaki hiari atakaye sawa asiyetaka sawa ila ndani Ni social distance tu .
 
Wakati utazungumza. Langu jicho. Bahati nzuri ni wana CCM tu ndo wamejazana kwenye kile kibanda. Wapigane wao kwa wao
 
Awalinde kwa gharama zote wabunge wasiotaka kuchanja kama ambavyo aliahidi kulinda wabunge wa covid 19.

Polepole na Askofu Gwajiboy bunge likianza wakakae jirani na kiti cha Jobo.Tuone nani atatangulia kufaaaa
 
Hao hao ccm leo ikitokea kiongozi mwingine akataka wajifukize wataanza kupinga chanjo.

Nchi hii tatizo kubwa ni ccm.

Akili zao iko very special aisee. You cannot logically understand their way of thinking
 
Awalinde kwa gharama zote wabunge wasiotaka kuchanja kama ambavyo aliahidi kulinda wabunge wa covid 19.
Polepole na Gwajiboy bunge likianza wakakae jirani na kiti cha Jobo.Tuone nani atatangulia kufaaaa

Humpendi Jobo nini? Hahahahaha
 
Nadhani sasa mmeanza kuelewa hali halisi ndani ya ccm .

Ni kama wale madada poa ambao "MWENYE BIA NYINGI MEZANI NDIO HUMPAPATIKIA"

Aibu naona mimi
 
Mkuu usisahau pia kuwa ni viongozi hawa hawa wa Chadema ndio waliohamasishana mamia ya wananchi kwenda airport kumpokea Lissu aliyekuwa akitoka Belgium

Pia ni hawa hawa Chadema waliozunguka nchi nzima ktk uchaguzi mkuu kwaajili ya kuomba kura, na hakuna sehemu walipohimiza wananchi wavae barakoa au kuchukua tahadhari dhidi ya mikusanyiko
 
hoja yako ni ya kijinga sana .
 
Nj mpumbavu pekee anaweza kuwaamini akina Ndugai na genge lake ccm
 
Back
Top Bottom