Nimefurahi sana ile tunu ya kuwa kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar anatokea upande wa pili wa Muungano huu, yaani anatokea kwenye visiwa vinavyonuka marashi ya karafuu.
watesi wengi walikuwa wakitubeza kuwa Zanzibar tusahau kupata nafasi ya Mzanzbaari mkaazi kuongoza taifa la Tanzania kama haitoshi walitusema eti ni wabeba mikasi tu balaa lilomkuta yule makamo wa raisi wakati wa Kikwete ,Mzanzibari Mkaazi akiitwa Bilal.
Mwenyezi Mungu si binadamu au si Achumani ,wacha kwa njia zake ametujaalia na waZanzibari kuweza kushika nafasi hio kwa njia nyepesi sana haitaki vita wala mauaji ya raia kuuliwa na polisi,kisa bwankubwa awe raisi.
Samia popote ulipo zikifikie salaamu kuwa fanya juu chini lile jambo letu liwe,kisha unalitua zigo lao,uwawache waitane magaidi.(Jina baya linalotiliwa mbolea Tanzania,kila mtu ni gaidi)