Tunaposema Mbowe siyo gaidi, tunamaanisha hivi

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,483
30,155
Kumekuwa na kundi moja la wananchi wanaoamini kuwa Mbowe amekamatwa kihalali kabisa Katika makosa anayotuhumiwa nayo ya ugaidi na ushahidi usio na shaka yoyote utatolewa mahakamani kuthibitisha tuhuma zake

Kuna wale tusioamini kabisa kuwa Mbowe ni gaidi na tunaamini pia kuwa, mashitaka haya anayotuhumiwa nayo ni njama tu za watawala ambao ni wanaccm, wakishirikiana kwa karibu Sana na Jeshi "lao" la Polisi Katika kumbambikia kesi kwa kinachoaminika kuwa ni kutaka kudhoofishsa juhudi zake kubwa za kupigania Katiba mpya ya nchi, kwa kumkalisha kipindi kirefu mahabusu, (ifahamike kuwa watuhumiwa wa ugaidi hawana dhamana) baada ya kumwona kama ni "mwiba" wa kuongoza mapambano ya kudai Katiba mpya ya nchi, ambayo watawala wetu hawataki hata kuisikia!

Hebu tujaribu kuchamhua kwa kina makundi haya mawili na tujaribu kuona ni kundi lipi ambalo tunadhani lipo sahihi.

Kwanza tuchambue kundi la kwanza la mapolisi walio-frame makosa hayo wskishirikiana kwa ",karibu" Sana na watawala wetu wa chama cha Sisiem.

Tunaambiwa na Polisi wa nchi hii kuwa Mbowe aligundulika kuwa ni gaidi tokea mwezi Agosti mwaka Jana, baada ya kubainika kuwa anafadhili kikundi cha kigaidi kwa kutumia pesa ya kitanzania shilingi laki sita tu!

Hivi kweli Polisi wetu "wakishirikiana" kwa karibu Sana na watawala wetu wapo serious kweli??

Mbowe isemekane kuwa ni mfadhili mkuu wa kikundi cha kigaidi tokea mwezi Agisti mwaka Jana, halafu asikamatwe Katika kipindi chote hiki, hadi wasubiri aende kwenye kongamano la Katiba mpya Mwanza, inakaribia mwaka mzima sasa, ndipo wamkamate, tena kwenye hoteli aliyofikia jijini Mwanza, tena usiku wa manane, ndipo wadai kuwa wamemkamta "gaidi" Mbowe na watamfikisha mahakamani kujibu mashitaka yake??

Jambo la pili, kama kweli Mbowe alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, mbona sasa hatuelezwi ni lini alipanga njama hizo??

Kama kweli Mbowe ni gaidi, mbona kuna tofauri kubwa mno Kati ya gaidi Mbowe wa TZ na vikundi vingine vya kigaidi vya kimataifa, kama vile Al qaeda, Al Shabaab, Boko haram na ISIS Katika utekelezaji wake wa vikundi vya kigaidi??

Kama kweli Mbowe angelikuwa gaidi, kwa tafdiri ya nemo ugaidi, tungeshashuhudia maafa makubwa ya vifo vya watu na uhahibifu wa hali ya juu wa mali za wananchi.

Kwa kuwa ugaidi ni vitendo vya kikundi fulani cha watu na wala ugaidi siyo suala la "individual as a person" basi tungeendelea kuona vitendo vya vifo vya watu na uhahibifu mkubwa wa mali za watanzania Katika kipindi hiki ambacho "gaidi" Mbowe yupo mahabusu.

Hayo ni maoni yangu Katika tafsiri i ya neno ugaidi na ninavyoona Mimi ugaidi una tafdiri tofauri kabisa kwa Polisi wetu wa nchi hii
 
Mystery ujue tu kwamba hata ndani ya ccm wengi hawakubaliani na huu ujinga mbowe Ana marafiki wengi Sana ndani ya ccm wanaochukizwa na huu uonevu zigo la dhulma hii linamuangukia mama Samia na siro. Muda ni mwalimu mzuri .
Superbug
Uko sahihi kwa asilimia 100

Huu udhalimu wa kumtesa Mbowe kwa kumrundika ndani, haukubaliki hata ndani ya CCM yenyewe,.

Lakiini wanakaa kimya kwa kulinda tu vibarua vyao
 
Hata sisi kuna mchungaji wetu alipata matatizo na kufungwa tuliumia sana, Ni kazi ya mamlaka hapa chini ya jua itakakayotoa haki, hivyo tusubiri mahakama ndiyo chombo pekee kitakacho maliza kesi. Ila kujifariji ni jambo zuri hata sisi tulikuwa tunajifariji na sisi ni watu wa imani tulijua Yesu atamtoa na alipofungwa tukasema mpango wa Yesu.
 
Mystery ujue tu kwamba hata ndani ya ccm wengi hawakubaliani na huu ujinga mbowe Ana marafiki wengi Sana ndani ya ccm wanaochukizwa na huu uonevu zigo la dhulma hii linamuangukia mama Samia na siro. Muda ni mwalimu mzuri .
Mkuu, hao wanaccm wanaoona udhalimu huu mkuu na wanakaa kimya ndio tatizo kubwa! Dhambi hii haiwaepuki wote. Hivi kwanini wabongo tumekuwa viumbe duni na wa hovyo kiasi hiki?! Tuna hata wastaafu kutoka kada mbalimbali..... siasa, vyombo vya ulinzi, sheria, mabalozi, marais, mawaziri wakuu nk....watu ambao bado wanalipwa kwa kodi za wananchi wote lakini hawana ujasiri wa kusimama upande wa haki!!!
Watu hawa wote na wasomi wataalamu wa fani mbalimbali kila mwisho wa wiki wanaingia hadi kwenye nyumba za ibada kwa imani zao, lakini wakitoka ni wanafiki na waovu vilevile! Hivi wapigania uhuru wa nchi hii walitoa wapi ujasiri wa kuhatarisha familia zao, mifugo yao, mashamba yao, biashara zao, ajira zao kwa ajili ya kutafuta haki?! Hao wanaccm wanaonyamazia dhuluma ni uzao gani?!
 
Hata sisi kuna mchungaji wetu alipata matatizo na kufungwa tuliumia sana, Ni kazi ya mamlaka hapa chini ya jua itakakayotoa haki, hivyo tusubiri mahakama ndiyo chombo pekee kitakacho maliza kesi. Ila kujifariji ni jambo zuri hata sisi tulikuwa tunajifariji na sisi ni watu wa imani tulijua Yesu atamtoa na alipofungwa tukasema mpango wa Yesu.
Jiulize maswali haya. Ilikuaje Polisi kumfyatulia risasi Akwilina Akwiline mchana kweupe lkn waliokuja kukutwa na hatia ni wengine akiwemo Mh Mbowe???
Je Rais wa nchi anaposema kuna kesi Polisi wanabambikia watu kwako kauli hiyo ni uongo??
 
Mkuu, hao wanaccm wanaoona udhalimu huu mkuu na wanakaa kimya ndio tatizo kubwa! Dhambi hii haiwaepuki wote. Hivi kwanini wabongo tumekuwa viumbe duni na wa hovyo kiasi hiki?! Tuna hata wastaafu kutoka kada mbalimbali..... siasa, vyombo vya ulinzi, sheria, mabalozi, marais, mawaziri wakuu nk....watu ambao bado wanalipwa kwa kodi za wananchi wote lakini hawana ujasiri wa kusimama upande wa haki!!!
Watu hawa wote na wasomi wataalamu wa fani mbalimbali kila mwisho wa wiki wanaingia hadi kwenye nyumba za ibada kwa imani zao, lakini wakitoka ni wanafiki na waovu vilevile! Hivi wapigania uhuru wa nchi hii walitoa wapi ujasiri wa kuhatarisha familia zao, mifugo yao, mashamba yao, biashara zao, ajira zao kwa ajili ya kutafuta haki?! Hao wanaccm wanaonyamazia dhuluma ni uzao gani?!
Hakika ni swali kubwa la kujiuliza, wako wapi hao viongozi wastaafu?

Au kuzawadiwa Benz, ndiyo kuamua kukaa kimya?
 
Kumekuwa na kundi moja la wananchi wanaoamini kuwa Mbowe amekamatwa kihalali kabisa Katika makosa anayotuhumiwa nayo ya ugaidi na ushahidi usio na shaka yoyote utatolewa mahakamani kuthibitisha tuhuma zake

Kuna wale tusioamini kabisa kuwa Mbowe ni gaidi na tunaamini pia kuwa, mashitaka haya anayotuhumiwa nayo ni njama tu za watawala ambao ni wanaccm, wakishirikiana kwa karibu Sana na Jeshi "lao" la Polisi Katika kumbambikia kesi kwa kinachoaminika kuwa ni kutaka kudhoofishsa juhudi zake kubwa za kupigania Katiba mpya ya nchi, kwa kumkalisha kipindi kirefu mahabusu, (ifahamike kuwa watuhumiwa wa ugaidi hawana dhamana) baada ya kumwona kama ni "mwiba" wa kuongoza mapambano ya kudai Katiba mpya ya nchi, ambayo watawala wetu hawataki hata kuisikia!

Hebu tujaribu kuchamhua kwa kina makundi haya mawili na tujaribu kuona ni kundi lipi ambalo tunadhani lipo sahihi.

Kwanza tuchambue kundi la kwanza la mapolisi walio-frame makosa hayo wskishirikiana kwa ",karibu" Sana na watawala wetu wa chama cha Sisiem.

Tunaambiwa na Polisi wa nchi hii kuwa Mbowe aligundulika kuwa ni gaidi tokea mwezi Agosti mwaka Jana, baada ya kubainika kuwa anafadhili kikundi cha kigaidi kwa kutumia pesa ya kitanzania shilingi laki sita tu!

Hivi kweli Polisi wetu "wakishirikiana" kwa karibu Sana na watawala wetu wapo serious kweli??

Mbowe isemekane kuwa ni mfadhili mkuu wa kikundi cha kigaidi tokea mwezi Agisti mwaka Jana, halafu asikamatwe Katika kipindi chote hiki, hadi wasubiri aende kwenye kongamano la Katiba mpya Mwanza, inakaribia mwaka mzima sasa, ndipo wamkamate, tena kwenye hoteli aliyofikia jijini Mwanza, tena usiku wa manane, ndipo wadai kuwa wamemkamta "gaidi" Mbowe na watamfikisha mahakamani kujibu mashitaka yake??

Jambo la pili, kama kweli Mbowe alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, mbona sasa hatuelezwi ni lini alipanga njama hizo??

Kama kweli Mbowe ni gaidi, mbona kuna tofauri kubwa mno Kati ya gaidi Mbowe wa TZ na vikundi vingine vya kigaidi vya kimataifa, kama vile Al qaeda, Al Shabaab, Boko haram na ISIS Katika utekelezaji wake wa vikundi vya kigaidi??

Kama kweli Mbowe angelikuwa gaidi, kwa tafdiri ya nemo ugaidi, tungeshashuhudia maafa makubwa ya vifo vya watu na uhahibifu wa hali ya juu wa mali za wananchi.

Kwa kuwa ugaidi ni vitendo vya kikundi fulani cha watu na wala ugaidi siyo suala la "individual as a person" basi tungeendelea kuona vitendo vya vifo vya watu na uhahibifu mkubwa wa mali za watanzania Katika kipindi hiki ambacho "gaidi" Mbowe yupo mahabusu.

Hayo ni maoni yangu Katika tafsiri i ya neno ugaidi na ninavyoona Mimi ugaidi una tafdiri tofauri kabisa kwa Polisi wetu wa nchi hii
tayari umeshakuwa bias, umesema polisi wameframe makosa yake kwa uhakika kabisa then unataka watu wajadiri.
Tukisema uoneshe ni kwa namna gani hiyo frame ilifanyika unapata kigugumizi. Kwa nini usiache mahakama ifanye kazi yake.
 
Working definition of terrorism
Although there is no universally accepted definition of terrorism, since 1994 the United Nations General Assembly has been defining terrorism as ‘criminal acts intended or calculated to provoke a state of terror in the public, a group of persons or particular persons for political purposes and are in any circumstances unjustifiable, whatever the considerations of a political, philosophical, ideological, racial, ethnic, religious or any other nature that may be invoked to justify them’.

The Security Council’s Resolution 1566 (2004) referred to ‘criminal acts, including (acts levelled) against civilians, committed with the intent to cause death or serious bodily injury, or taking of hostages, with the purpose to provoke a state of terror in the general public or in a group of persons or particular persons, intimidate a population or compel a government or an international organisation to do or to abstain from doing any act’.

Terrorist
Is 'a person who uses unlawful violence and intimidation, especially against civilians, in the pursuit of political aims'.

Sheria ya Kuzuia Ugaidi Tanzania
Kifungu cha 4(1) cha Sheria ya Kuzuia ugaidi inakataza mtu yeyote katika Jamhuri ya Muungano na nje ya Jamhuri ya Muungano kutenda kitendo cha ugaidi. Kifungu kidogo cha pili kinasema (nimekopi kama ilivyo kwenye Kiingereza): 'A person commits terrorist act if, with terrorist intention, does an act or omission which;
(a) may seriously damage a country or an international organisation; or
(b) is intended or can reasonably be regarded as having been intended to;
(i) seriously intimidate a population;
(ii) unduly compel a government or perform or abstain from performing any act;
(iii) seriously destabilise or destroy the fundamental political, constitutional, economic or
social structures of
country or an international organisation; or
(iv) otherwise influence such government, or international organization; or
(c) involves or causes, as the case may be
(i) attacks upon a person's life which may cause death;
(ii) attacks upon the physical integrity of a person;
(iii) kidnapping of a person,
(3) An act shall also constitute terrorism within the scope of this Act if it is an act or
threat of action which;
(a) involves serious bodily harm to a person;
(b) involves serious damage to property;
(c) endangers a person's life;
(d) creates a serious risk to the health or safety of the public or a section of the public;
(e) involves the use of firearms or explosives;
(f) involves releasing into the environment or any part of it or distributing or exposing the
public or any part of it to;
(i) any dangerous, hazardous, radioactive or harmful substance;
(ii) any toxic chemical;
(iii) any microbial or other biological agent or toxin;
(g) is designed or intended to disrupt any computer system or the provision of services
directly related to communications infrastructure, banking or financial services, utilities,
transportation or other essential infrastructure;
(h) is designed or intended to disrupt the provision of essential emergency services such
as police, civil defence or medical services;
(i) involves prejudice to national security or public safety, and is intended, or by its
nature and context, may reasonably be regarded as being intended to;
(i) intimidate the public or a section of the public;
(ii) compel the government or an international organisation to do, or refrain from doing,
any act, and is made for the purpose of advancing or supporting act which constitutes
terrorism within the meaning of this Act'.
 
Tanzania tuna majeshi mengi! Ila hili la polisi nadhani ni la hovyo kuliko hata lile la Mgambo!
 
Kama Definition yenyewe ndio hii basi Ccm wote ni magaidi
 
Hakika ni swali kubwa la kujiuliza, wako wapi hao viongozi wastaafu?

Au kuzawadiwa Benz, ndiyo kuamua kukaa kimya?
Kuna machukizo makubwa mno Tanzania! Tumeshatoa wanajeshi wetu wengi mno kwenda kupigania haki maeneo mbalimbali katika bara hili, Algeria, D.R. Congo, Comoro, Mozambique, Uganda, Darfur, Angola(?), Zimbabwe nk.....Lakini ajabu ni kuwa watu walewale ndani ya nchi yao ni wanafiki na waoga wa kufa mtu!
Anapoibuka mtu akawatisha raia tena kwa kurudiarudia kuwa wasipowachagua watu wa genge lake hatapeleka maendeleo eneo hilo na vyombo vyote vya dola vikakaa kimya, dini zote kimya, wastaafu wote kimya, wanasheria kimya.....inadhihirisha jinsi mifumo yetu ilivyooza. Hivi mnajua kutamka hivyo tu tena hadharani ni uhaini dhidi ya UHURU wa nchi?!
 
Kumekuwa na kundi moja la wananchi wanaoamini kuwa Mbowe amekamatwa kihalali kabisa Katika makosa anayotuhumiwa nayo ya ugaidi na ushahidi usio na shaka yoyote utatolewa mahakamani kuthibitisha tuhuma zake

Kuna wale tusioamini kabisa kuwa Mbowe ni gaidi na tunaamini pia kuwa, mashitaka haya anayotuhumiwa nayo ni njama tu za watawala ambao ni wanaccm, wakishirikiana kwa karibu Sana na Jeshi "lao" la Polisi Katika kumbambikia kesi kwa kinachoaminika kuwa ni kutaka kudhoofishsa juhudi zake kubwa za kupigania Katiba mpya ya nchi, kwa kumkalisha kipindi kirefu mahabusu, (ifahamike kuwa watuhumiwa wa ugaidi hawana dhamana) baada ya kumwona kama ni "mwiba" wa kuongoza mapambano ya kudai Katiba mpya ya nchi, ambayo watawala wetu hawataki hata kuisikia!

Hebu tujaribu kuchamhua kwa kina makundi haya mawili na tujaribu kuona ni kundi lipi ambalo tunadhani lipo sahihi.

Kwanza tuchambue kundi la kwanza la mapolisi walio-frame makosa hayo wskishirikiana kwa ",karibu" Sana na watawala wetu wa chama cha Sisiem.

Tunaambiwa na Polisi wa nchi hii kuwa Mbowe aligundulika kuwa ni gaidi tokea mwezi Agosti mwaka Jana, baada ya kubainika kuwa anafadhili kikundi cha kigaidi kwa kutumia pesa ya kitanzania shilingi laki sita tu!

Hivi kweli Polisi wetu "wakishirikiana" kwa karibu Sana na watawala wetu wapo serious kweli??

Mbowe isemekane kuwa ni mfadhili mkuu wa kikundi cha kigaidi tokea mwezi Agisti mwaka Jana, halafu asikamatwe Katika kipindi chote hiki, hadi wasubiri aende kwenye kongamano la Katiba mpya Mwanza, inakaribia mwaka mzima sasa, ndipo wamkamate, tena kwenye hoteli aliyofikia jijini Mwanza, tena usiku wa manane, ndipo wadai kuwa wamemkamta "gaidi" Mbowe na watamfikisha mahakamani kujibu mashitaka yake??

Jambo la pili, kama kweli Mbowe alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, mbona sasa hatuelezwi ni lini alipanga njama hizo??

Kama kweli Mbowe ni gaidi, mbona kuna tofauri kubwa mno Kati ya gaidi Mbowe wa TZ na vikundi vingine vya kigaidi vya kimataifa, kama vile Al qaeda, Al Shabaab, Boko haram na ISIS Katika utekelezaji wake wa vikundi vya kigaidi??

Kama kweli Mbowe angelikuwa gaidi, kwa tafdiri ya nemo ugaidi, tungeshashuhudia maafa makubwa ya vifo vya watu na uhahibifu wa hali ya juu wa mali za wananchi.

Kwa kuwa ugaidi ni vitendo vya kikundi fulani cha watu na wala ugaidi siyo suala la "individual as a person" basi tungeendelea kuona vitendo vya vifo vya watu na uhahibifu mkubwa wa mali za watanzania Katika kipindi hiki ambacho "gaidi" Mbowe yupo mahabusu.

Hayo ni maoni yangu Katika tafsiri i ya neno ugaidi na ninavyoona Mimi ugaidi una tafdiri tofauri kabisa kwa Polisi wetu wa nchi hii
Nafikili, tusione wanajikaza , ila Mpaka mda huu wanajilaum why walifanya Ili Jambo , hawakupima kina Cha maji, na washirika katika hili Kama waliona wanataka mfuraisha boss wao sio mda ,boss wao atawaona adui na moja kwake na dalili zipo ni swala la mda,

Serikali yenye kibri mungu ameikataa, that's drama zao zote ,zinabuma ,kila wafanyalo linabuma, nchi inazidi paranganyika, chuki KWA serikali hii imeongezeka Mara dufu,

Unaanzaje kumpa mashitaka ya kiwango ichi ,KIONGOZI mkubwa na wenye wafuasi wa kutosha, na huku ukijua ni kukomoana tu, alafu Mungu awe upande wao, haiwezi kuwa, CHADEMA Sasa imefanyika kuwa mtaji wa watu kuvuta posho ,hamna kitu kingine

MUNGU YUPO NI SWALA LA MDA TU ,MBOWE ATATOKA, NA KATIBA MPYA INAKUJA HAKUNA WA KUZUIA
 
Back
Top Bottom