Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najiuliza Kama katibu mkuu CCM ametangaza kufanyika mikutano ya hadhara nchi nzima itakayo fanywa na wabunge, madiwani, wenyeviti wa CCM wilaya,kata,vijiji na mitaa,zuio la Rais lilikuwa...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
CCM: Heko Rais Samia kupunguza tozo za miamala. Na mwandishi wetu, Dar es Salaam. "Chama Cha Mapinduzi kinasifu na kupongeza msimamo imara na thabiti wa @ Rais Samia wa kujali na kuwasikiliza...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi limeshindwa kutoa maelezo ya kwanini linazuia mikutano ya ndani ya chama cha NCCR Mageuzi kwa sababu za kiusalama na Kuepusha maambukizi ya Covid-19 kwenye mkoa wa Dar es Salaam...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Tazama nchi inaenda ikiwa imepoteza uelekeo kabisa. Tazama dreva ameendelea kubaki kwenye usukani wakati gari imekata sukani na shokapu. Tazama raia na upinzani wamedhurumiwa huku wasanii wetu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kodi ya Majengo imelipwa ndani ya nchi hii kwa miaka na miaka , kwa kipindi kirefu ililipwa kwenye Halmashauri na kuwa mapato ya Halmashauri husika ili kusaidia miradi mbali mbali , mimi mwenyewe...
14 Reactions
51 Replies
4K Views
Nimepitia dukuduku na maoni katika kurasa tofauti tofauti za mitandao ya kijamii nimeona watanzania wote wanaongea lugha moja. Sioni tofauti kati ya wana CCM na wapinzani, wote wanalalamika. Wote...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri Ummy Aagiza Kata ya Kinaga- Kahama kuwekwa katika Orodha ya Kata za Kimkakati itakayojengewa Kituo cha Afya Wahenga husema usiibe kabla Jua halijazama,pengine ndio kauli inayofaa kusemwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais Samia amezungumza na Kansela Wa Ujerumani Bi Angela Merkel Leo kutokea Ikulu ya Magogoni ----
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Wabunge wengi huwa wanachangia kanakwamba hawana connection na mitaa ninayoishi na kutembelea mimi Jasusi Mbobezi. Mitaa wanayoishi wabunge wetu wengi Rais anakubalika sana na wananchi. Mitaa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye...
9 Reactions
99 Replies
11K Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameeleza "kukerwa" kwake na kada nne kwamba wanajiona ni bora kuliko wengine. Kwa mfano Mawakili, ambao wana utaratibu wa kuitwa "Wakili Msomi" kabla ya kutaja jina...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
SHAKA HAMDU SHAKA AKUTANA NA KUNDI LA JAMII MPYA Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amekutana na kufanya mazungumzo na kundi la Jamii Mpya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana kamati ya Haki na maadili ya Bunge imeitaka CCM kumchukulia hatua zaidi za kinidhamu askofu Gwajima. Ninachojiuliza ni je CCM ndio yenye meno zaidi kuliko bunge? Mbona CHADEMA iliwafukuza...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Kila unapo fuatilia masuala mbalimbali ya kimaendeo duniani Tanzania Kati ya nchi za Africa utaiona ipo nyuma sana ,japo viongozi wetu huji mwambafy kana kwamba wameisongesha nchi kimaendeo kwa...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Hebu angalia hukumu hizi mbili halafu toa maoni yako
9 Reactions
36 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha amewaonya wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi kwa kuwapa bei mbili za bidhaa, bei yenye risiti na bei isiyo na risiti. Amesema kuna wafanyabiashara wakidaiwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tangu tarehe 4 hadi sasa Waliopokea Chanjo ya Uviko ni wananchi wapatao laki 3 na kadhaa sawa na 30% ya chanjo tulizopokea, ambayo ni sawa na mwezi mmoja tangu kuanza kutolewa, Kama Serikali...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye...
5 Reactions
133 Replies
9K Views
Back
Top Bottom