Kauli za Mwigulu Nchemba zinachochea chuki dhidi ya Serikali

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,381
98,833
Wasalaaam,

Uyu waziri wetu wa fedha Bw. Mwigulu Nchwmba anapaswa kudhibitiwa,

Au Kama Hana la maana la kuongea Bora TU akae kimya.

Kumsikiliza mwigulu akiongea chochote nchi Hii imekua Ni KERO Sana.

Uyu jamaa
Ana kauli za kikatili Sana,

Anakauli za kebehi, majivuno na kujiskia Sana.

Uyu jamaa anachochea sana chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao.

Sijajua wananchi wake uko jimboni kwakw wanazipokeaje kauli zake anazozitoa Kwenye media kila Mara.

TUNAKOELEKEA SIO KUZURI KWAKWELI
 
Bado najiuliza mama yeye hana akili ya kuona? Tunaweza kusema mwigulu anamfanyia hujuma kumbe mama nae walewale.
Ilipaswa yeye Kama raisi aone na kuchukua hatua
Mi mwnyw nashangaa mama amekaa kimya.

Yaan imekua nchi Hii ni Kam vile yeye ndo kashika usukani
 
Wasalaaam,

Uyu waziri wetu wa fedha Bw. Mwigulu Nchwmba anapaswa kudhibitiwa,

Au Kama Hana la maana la kuongea Bora TU akae kimya.

Kumsikiliza mwigulu akiongea chochote nchi Hii imekua Ni KERO Sana.

Uyu jamaa
Ana kauli za kikatili Sana,

Anakauli za kebehi, majivuno na kujiskia Sana.

Uyu jamaa anachochea sana chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao.

Sijajua wananchi wake uko jimboni kwakw wanazipokeaje kauli zake anazozitoa Kwenye media kila Mara.

TUNAKOELEKEA SIO KUZURI KWAKWELI
Hivi ndugu zake wanajisikiaje..na wazazi wake wanajisikiaje kutuzalia watanzania mtu kama huyu
 
Hoja yako ipo very much bien!Lakini kwa nini kiswahili haupendi kukijua?
 
Wasalaaam,

Uyu waziri wetu wa fedha Bw. Mwigulu Nchwmba anapaswa kudhibitiwa,

Au Kama Hana la maana la kuongea Bora TU akae kimya.

Kumsikiliza mwigulu akiongea chochote nchi Hii imekua Ni KERO Sana.

Uyu jamaa
Ana kauli za kikatili Sana,

Anakauli za kebehi, majivuno na kujiskia Sana.

Uyu jamaa anachochea sana chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao.

Sijajua wananchi wake uko jimboni kwakw wanazipokeaje kauli zake anazozitoa Kwenye media kila Mara.

TUNAKOELEKEA SIO KUZURI KWAKWELI
Je kweli hii ni serikali ya wananchi kama ulivyosema?
 
Tena wanyiramba ndio walituangusha sana!! nazani sasahivi kina lyambalityu ameshatia akili!! maana huwa mshabiki wa mwigulu sana!!
Acha kusingizia wanyiramba nchi hii inaendeshwa kibabe tangu zamani hakunaga uchaguzi huru na wa haki . Hata wanyiramba wangepiga kura pamoja na watoto wote na wazee pia Mwigulu angechukua tu Hawa ccm tangu lini wakakubali kushindwa .
 
Nyie mnaochukizwa na kauli zake sio wazalendo, kama vipi hamieni Burundi
 
Bora usikilize sauti nzuri ya mbwa anayebweka mtaani kuliko kumsikiliza Mwigulu, anatia kinyaa na Rubish words.Huyu kinachomsumbua ni ndoto ya Uraisi....,MAMA CHUKUA HATUA MAPEMA.
Hivi ndugu zake wanajisikiaje..na wazazi wake wanajisikiaje kutuzalia watanzania mtu kama huyu
 
Acha kusingizia wanyiramba nchi hii inaendeshwa kibabe tangu zamani hakunaga uchaguzi huru na wa haki . Hata wanyiramba wangepiga kura pamoja na watoto wote na wazee pia Mwigulu angechukua tu Hawa ccm tangu lini wakakubali kushindwa .
We neema kiula huwajui vijana wa kinyiramba!! nenda shelui uone wanavyomsifia madelu!! nenda kata ya ntwike!! nenda misigiri hadi uremo huwaambii kitu kuhusu mwigulu, wanakwambia " msumbate witu"
 
Acha kusingizia wanyiramba nchi hii inaendeshwa kibabe tangu zamani hakunaga uchaguzi huru na wa haki . Hata wanyiramba wangepiga kura pamoja na watoto wote na wazee pia Mwigulu angechukua tu Hawa ccm tangu lini wakakubali kushindwa .
Lakini hata hivyo, iramba haikuwa na mgombea makini kwa uchaguzi uliopita, watu waliona bora wampe madelu, kuliko kumpa kishoa asiekuwa na msimamo!!
 
Wasalaaam,

Uyu waziri wetu wa fedha Bw. Mwigulu Nchwmba anapaswa kudhibitiwa,

Au Kama Hana la maana la kuongea Bora TU akae kimya.

Kumsikiliza mwigulu akiongea chochote nchi Hii imekua Ni KERO Sana.

Uyu jamaa
Ana kauli za kikatili Sana,

Anakauli za kebehi, majivuno na kujiskia Sana.

Uyu jamaa anachochea sana chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao.

Sijajua wananchi wake uko jimboni kwakw wanazipokeaje kauli zake anazozitoa Kwenye media kila Mara.

TUNAKOELEKEA SIO KUZURI KWAKWELI
Kumsikiliza mwigulu akiongea chochote nchi Hii imekua Ni KERO Sana.

Uyu jamaa
Ana kauli za kikatili Sana,

Anakauli za kebehi, majivuno na kujiskia Sana.

Uyu jamaa anachochea sana chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom