Kwanini hatutambui umuhimu wa China kwa mataifa yanayoendelea?

S V Surovikin

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
13,616
32,723
Uungaji mkono wa China kwenye majukwaa ya kimataifa sio jambo la bahati mbaya

Katika muda wa miaka 20 iliyopita China imejitokeza kuwa msaada mkubwa kwa nchi nyingi duniani, hasa nchi za dunia ya tatu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa wahanga wa unyonyaji, kupuuzwa na ukandamizaji.

Lakini kujitokeza kwa China na kuwa na sauti kwenye jukwaa la kimataifa, iwe ni kwenye eneo la uchumi au eneo la kidiplomasia, kumefanya hali ya unyonyaji na kupuuzwa kupungua au hata kutoweka.

Tukiangalia tangu mwaka 2001 China ilipojiunga na Shirika la Biashara duniani WTO, hali mpya ilianza kujitokeza katika nchi za Afrika, na kwenye nchi za dunia ya tatu.

Bidhaa ambazo zamani zilikuwa ni haki ya matajiri, zilianza kuwa za kawaida kwa watu maskini katika nchi hizo.
Polepole mambo ambayo yalikuwa ndoto tu au yaliyoonekana kuwa haki ya matajiri wa Ulaya na Marekani, yakaanza kuonekana kuwa ni mambo yanayowezekana kwa watu wa nchi hizo.

Maendeleo ya viwanda nchini China yakawa ni msaada mkubwa sana kwa watu wa nchi hizo kubadilisha maisha yao.

Lakini mbali na biashara zilizogusa moja kwa moja maisha ya watu wa kawaida, serikali za nchi hizo zilipata chanzo kipya cha fedha, iwe ni mikopo au mitaji.

Kwa muda mrefu, baadhi ya nchi za magharibi zilikuwa zinatumia nyenzo hizo kama njia ya uingiliaji na ukandamizaji wa nchi za dunia ya tatu.

Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ambazo kwa muda mrefu zimedhibitiwa na nchi za magharibi, zilikuwa zikitoa mikopo kwa masharti magumu ambayo yalifanya maendeleo kwa nchi hizo liwe jambo lisilowezekana.

Kujitokeza kwa China kiuchumi kulifanya China iwe chanzo kipya cha fedha, na kuondoa utegemezi wa nchi za magharibi.

Hali hii sio kama tu inaonekana kwenye eneo la uchumi, bali pia inaonekana kwenye eneo la siasa za kimataifa.

Mara nyingi kwenye majukwaa ya kimataifa, kumekuwa na majaribio ya kuishambulia China kwa kutumia majukwaa hayo.

Baadhi ya nchi za magharibi zimekuwa zikipeleka miswada inayoilenga China ili kupigiwa kura. Iwe ni suala la haki za binadamu, au iwe ni suala la kujaribu kuipenyeza Taiwan kwenye mkutano wa WHO, miswada hiyo imekuwa ikigonga mwamba.

Baadhi ya wanahabari na wachambuzi wa mambo ya kisiasa wa nchi za magharibi wamekuwa wakijiuliza, ni kwanini China imekuwa inaungwa mkono na nchi za Afrika, au hata nchi nyingine za dunia ya tatu kwenye majukwaa ya kimataifa, wakati nchi hizo zina tofauti kubwa sana na China?

Jibu la swali hili, linaweza kuwa swali. Kwanini China inaziunga mkono nchi za Afrika na nchi za dunia ya tatu kwenye upigaji kura kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?

Ukweli ni kwamba nchi hizo zote ambazo si wajumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama, zimekuwa wahanga wa maamuzi yasiyo ya haki kwenye vikao vya Baraza hilo, na China imekuwa mtetezi wa nchi hizo, na wakati mwingine imekuwa ikipiga kura ya turufu kuzuia maamuzi yasiyo ya haki dhidi ya nchi hizo.

Kwa hiyo nchi nyingi zinatambua kuwa sauti yao kwenye Baraza la Usalama inawakilishwa na China.
Kwa hiyo si ajabu kwa nchi za Afrika na nchi za dunia ya tatu kuiunga mkono China, na hali hii itaendelea kwa muda mrefu kwa sababu msingi wake ni imara.

Yapi maoni yako katika hili? Kumbuka kuwa, kama sio China hata smartphone zingekuwa ni jambo la anasa huku
Afrika

Screenshot_20210824-110747.png
 
Umuhimu gani wakati China ni mkoloni mpya katika Afrika ambaye tofauti yake na wazungu ni kimo chake na wakati? Kwanini hatutaki kujitegemea kwa kuanza kufikiri kama binadamu na si manyani?
 
Mwalimu Nyerere aliona mbali kuipigania China kuwa mjumbe wa Baraza la Usalama la UN(UNO). China was a Sleeping Giant that time. Ila ilikuwa n lazima Ulimwengu upate mizania. China inafahamu nafasi yake ya kuwa Mjumbe wa UN-Baraza la usalama haikutokana na ukuu wake tu bali maono na matarajio ya nchi nyingi za giza. China ilijitutumua kutoka kuonewa kisha ikatetewa na Africa na kwa nguvu zake pamoja na Sapoti ya Africa hususan kutoka Tanzania ikanyanyuliwa na kuwa sehemu ya Ukuu na utukufu wa Dunia. Kwa China kutoisemea Africa ni usaliti kwa Africa.

Sera ya kigeni ya China kutoingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine ni yenye kupendeza na kuwafurahisha watawala wengi wa Africa. Ni sera inayotambua usawa na heshima ya kimamlaka kwa mataifa mengine pasipo kujali hadhi ya taifa/nchi husika.

Kitisho pekee cha Ndoa ya Africa na China ni uroho wa ubepari wa kidola wa China katika kuikidhi khofu yao ya kuporomoka. Uchu wa utukufu kiuchumi umekuwa ukiigahrimu Africa katika mikopo yenye masharti mengi ya kitapeli tapeli. Propaganda za kimagharibi na mageuzi ya Sera ya mataifa mengi ya kimagharibi yanaiganya Africa kuwa uwanja mpya wa vita ya kibiashara. Ukiacha China na other Tiger economies, Africa ndo ina soko la uhakika kwa miaka 20-50 mbeleni. Ndo eneo muhimu kibiashara na kiuchumi ka siku za usoni. Africa si ya kupuuzwa tena.

All in all, China ni rafiki wa kuaminika wa Africa.

Shukran kwa mada nzuri.
 
Unaelewa ugumu tuliokuwa tunaupata Waafrika pamoja na nchi zinazoendelea kabla ya China kuwa na uwezo wa kufanya kazi na sisi?
 
Asante sana mkuu.

China sio tu kwamba imekuwa msaada kwa Afrika, bali ni karibu mataifa yote yanayoendelea.

Katika wazungu wameonekana kubadilisha tu mbinu za kitumwa na za kikoloni ila kwa upande inajitanabaisha kabisa kwa maneno na vitendo kwamba sera yake ni ya kunufaisha pande zote
 
Unaelewa ugumu tuliokuwa tunaupata Waafrika pamoja na nchi zinazoendelea kabla ya China kuwa na uwezo wa kufanya kazi na sisi?
China huyu huyu ambaye anakukopesha Usipolipa anachukua Bandari?

Angalia Zambia wanavyofilisika sababu ya China, vurugu kila sehemu, deni kubwa, inflation kubwa, economic growth ina kwenda hadi negative.

Wazungu ni wezi ila angalau Wana ka ustaarabu fulani, wachina ni vibaka hawaachi kitu mpaka Nyoka wanaiba.
 
Hivi unajielewa kweli? Benki yenyewe ukikopeshwa usipolipa kwa wakati unanyang'anywa mali zako ili uwe na utimamu.
Je, wewe unataka ukope ikahonge alafu wakati wa kulipa uonewe huruma kitu ambacho ni mjinga tu anaweza kufikiri.

Ustaarabu unaouona kwa mzungu ni vile tu anakuchekea huku akikupa dawa za kufubaza virusi vya ukimwi
 
China ni Ulaya Mashariki? Tangu lini? Mwizi ni mwizi akuibie kidogo au akuibie sana? Hao wanaotaka kunyang’anya taasisi muhimu kama Airport, State Tv Ili kurudisha mkopo wao wana afadhali ipi!?
Hivi kati ya Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki ni upande upi umetuibia sana? Mimi naona Waafrika ndio tuna chuki na ubaguzi kwa wachina
 
Uungaji mkono wa China kwenye majukwaa ya kimataifa sio jambo la bahati mbaya

Katika muda wa miaka 20 iliyopita China imejitokeza kuwa msaada mkubwa kwa nchi nyingi duniani, hasa nchi za dunia ya tatu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa wahanga wa unyonyaji, kupuuzwa na ukandamizaji.

Lakini kujitokeza kwa China na kuwa na sauti kwenye jukwaa la kimataifa, iwe ni kwenye eneo la uchumi au eneo la kidiplomasia, kumefanya hali ya unyonyaji na kupuuzwa kupungua au hata kutoweka.

Tukiangalia tangu mwaka 2001 China ilipojiunga na Shirika la Biashara duniani WTO, hali mpya ilianza kujitokeza katika nchi za Afrika, na kwenye nchi za dunia ya tatu.

Bidhaa ambazo zamani zilikuwa ni haki ya matajiri, zilianza kuwa za kawaida kwa watu maskini katika nchi hizo.
Polepole mambo ambayo yalikuwa ndoto tu au yaliyoonekana kuwa haki ya matajiri wa Ulaya na Marekani, yakaanza kuonekana kuwa ni mambo yanayowezekana kwa watu wa nchi hizo.

Maendeleo ya viwanda nchini China yakawa ni msaada mkubwa sana kwa watu wa nchi hizo kubadilisha maisha yao.

Lakini mbali na biashara zilizogusa moja kwa moja maisha ya watu wa kawaida, serikali za nchi hizo zilipata chanzo kipya cha fedha, iwe ni mikopo au mitaji.

Kwa muda mrefu, baadhi ya nchi za magharibi zilikuwa zinatumia nyenzo hizo kama njia ya uingiliaji na ukandamizaji wa nchi za dunia ya tatu.

Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ambazo kwa muda mrefu zimedhibitiwa na nchi za magharibi, zilikuwa zikitoa mikopo kwa masharti magumu ambayo yalifanya maendeleo kwa nchi hizo liwe jambo lisilowezekana.

Kujitokeza kwa China kiuchumi kulifanya China iwe chanzo kipya cha fedha, na kuondoa utegemezi wa nchi za magharibi.

Hali hii sio kama tu inaonekana kwenye eneo la uchumi, bali pia inaonekana kwenye eneo la siasa za kimataifa.

Mara nyingi kwenye majukwaa ya kimataifa, kumekuwa na majaribio ya kuishambulia China kwa kutumia majukwaa hayo.

Baadhi ya nchi za magharibi zimekuwa zikipeleka miswada inayoilenga China ili kupigiwa kura. Iwe ni suala la haki za binadamu, au iwe ni suala la kujaribu kuipenyeza Taiwan kwenye mkutano wa WHO, miswada hiyo imekuwa ikigonga mwamba.

Baadhi ya wanahabari na wachambuzi wa mambo ya kisiasa wa nchi za magharibi wamekuwa wakijiuliza, ni kwanini China imekuwa inaungwa mkono na nchi za Afrika, au hata nchi nyingine za dunia ya tatu kwenye majukwaa ya kimataifa, wakati nchi hizo zina tofauti kubwa sana na China?

Jibu la swali hili, linaweza kuwa swali. Kwanini China inaziunga mkono nchi za Afrika na nchi za dunia ya tatu kwenye upigaji kura kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?

Ukweli ni kwamba nchi hizo zote ambazo si wajumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama, zimekuwa wahanga wa maamuzi yasiyo ya haki kwenye vikao vya Baraza hilo, na China imekuwa mtetezi wa nchi hizo, na wakati mwingine imekuwa ikipiga kura ya turufu kuzuia maamuzi yasiyo ya haki dhidi ya nchi hizo.

Kwa hiyo nchi nyingi zinatambua kuwa sauti yao kwenye Baraza la Usalama inawakilishwa na China.
Kwa hiyo si ajabu kwa nchi za Afrika na nchi za dunia ya tatu kuiunga mkono China, na hali hii itaendelea kwa muda mrefu kwa sababu msingi wake ni imara.

Yapi maoni yako katika hili? Kumbuka kuwa, kama sio China hata smartphone zingekuwa ni jambo la anasa huku
Afrika

Kaulize nchi wanayoitawala Zambia ni kwanini hawaendelei pamoja na kuwa na shabba nyingi.
 
Wachina wanakukopesha ili ukawe na financial descipline na ufanye basics ila wazungu wanafurahi unapopeleka mkopo kununulia ma v8 make wanajua we hamnazo na daima you can never run away from the poverty line
 
Hivi unajielewa kweli? Benki yenyewe ukikopeshwa usipolipa kwa wakati unanyang'anywa mali zako ili uwe na utimamu.
Je, wewe unataka ukope ikahonge alafu wakati wa kulipa uonewe huruma kitu ambacho ni mjinga tu anaweza kufikiri.

Ustaarabu unaouona kwa mzungu ni vile tu anakuchekea huku akikupa dawa za kufubaza virusi vya ukimwi
Kwanza hii term mzungu ina apply kwa mtu wa ulaya, watu wa Marekani ambapo chanjo, sijui Arv na mengineyo yanatoka si wazungu.

Na kuna mataifa mengi ya ulaya Denmark, Norway, Sweden, Finland na Nordic countries kwa Ujumla ni wadau wa maendeleo siku Nyingi, hawaibi, wala hawana Masharti magumu kivile.

Huku kwetu Tanga, pembezoni mwa Bahari kuna Bustani zimezunguka kote, na makochi ya Cement, kila Mtu anaweza kupumzika Jioni na familia na kula Good time, jamaa wanajali sana Utu na Ubora wa maisha.

Na Tunadaiwa matrilioni ya Hela na hao wazungu na Nyengine tunasamehewa ila sijawahi kusikia wakitunyang'anya mbuga ama migodi,
 
There have been credible reports of talks between the Zambian government and China on handing over the country’s national electricity company, ZESCO to the Chinese due to the inability of Zambia to meet its loan repayment promises. This is expected as China is already in control of the country’s broadcasting company, ZNBC. There are also fears the main airport in Lusaka could be the next target.

Obliviously, Zambia is in trouble. And for other African beneficiaries of Chinese loans, they should prepare for the same possibility in the eventuality that they aren’t able to repay China.

Debt Acceleration was the Plan​

China is smart and deliberate about its policy in Africa. It understands the development deficit on the continent and it is strategically using this to keep Africa’s economic future under its arms.

Africa has what China needs to further propel its economy, specifically crude oil and copper. The best way to ensure an abundant supply of these in the future would be to make the depository countries owe it, which it has excellently done so far.

The play is simple. Give staggering loans to inept leaders and keep the details of repayment from the prying eyes of the public. Eventually, if debtors are unable to service their debts, China takes over its collateral which is mostly in national assets. But this does not comprehend the severity of the situation Africa finds itself.

Reports show that a substantial number of African countries have taken Chinese loans since 2000, totaling a whopping $124 billion by 2016. Of course, there have been more after that. But, Africa is only a victim of its own ignorance as the world had severally warned of China’s end goal.

Just last month, the International Monetary Fund (IMF) and the United States advised African leaders of the imperial intentions of China. A core of the Belt and Road Initiative developed by President Xi Jinping in 2013. However, the lack of thought and foresight by African leaders will not let them vet the deal thoroughly before putting ink on paper.

Africa bought the Play​

Nearly all major economies in sub-Saharan Africa today are massively indebted to China. What makes this worse is that most of them have poor economic projections for the next few years and will almost certainly have problems servicing their debts.

For instance, around 72 percent of Kenya’s $50 billion bilateral debts are owed to China, with the East African country requesting an additional $3.8 billion extension. Nigeria also recently accrued some $5 billion in loans from China, and Angola still owes about $21.2 billion with a pending proposal for another $4.4 billion.

South Africa should be getting $14.5 billion in Chinese investment soon and another $2.5 billionloan for its embattled national power company, ESKOM. Weaker economies like the Democratic Republic of Congo, Sudan, and Ethiopia have also incurred large debt from China.

The reality in these figures is that the majority of the beneficiary countries will not achieve the intended goals of the loans. This primarily because of corruption and poor economic structure.

How the beneficiary countries will manage to repay China without ending up like Zambia is yet to be seen, especially now that China is responding hard.

Defaulters should not also expect any help as they had from the IMF in 2005, with the Multilateral Debt Relief Initiative that canceled over $100 billion debt for 30 Africans countries. The US has admonished the IMF not to bail out any country having debt servicing troubles with Chinese loans.

It also does not seem like any other bloc will be willing, too, considering the volume of money involved, or in light of risking the US consequences.

A Ready-Made Alternative to Loan?​

Now that Africa is having trouble with China, perhaps African leaders could consider prioritizing better financial structuring and eliminate corruption.

The African Union reported in 2014 that the continent lost $184 billion to corruption annually. This was only derived from documented figures three years ago, which logically puts the figure much higher. Whereas, if African countries can plug all leakages, they could generate enough money to finance a substantial part of the many development problems they face.

More so, the excessive expectation on governments to provide jobs, infrastructure, education, and other needs is a driving force for loan procurement.

It is evident that governments cannot provide all that is required to make an economy flourish. In fact, the more it consumes itself in this belief, the greater the problems it creates for the economy.

For instance, transportation and power generation that accounts for most of the spending of Chinese loans can be efficiently provided by private investors.

The same reason telecommunication is solving many problems on the continent without government ownership or the need for loans, is the same reason privatization would work for these crucial sectors.

China has made its intentions to dominate the global economy clear enough for any serious mind to realize. It knows the enormous potentials Africa possesses, and it will go the extra length to utilize them for its selfish mission. Just like Europe did with colonialism.

If African countries should make themselves the stepping stones for China and worse-off afterward, the consequences would be theirs to bear, alone.

Ibrahim B. Anoba is a Senior Fellow at AfricanLiberty.org. Follow his tweets on Africa:@ibrahim_anoba.
 
China ni Ulaya Mashariki? Tangu lini? Mwizi ni mwizi akuibie kidogo au akuibie sana? Hao wanaotaka kunyang’anya taasisi muhimu kama Airport, State Tv Ili kurudisha mkopo wao wana afadhali ipi!?
Sorry, nilikuwa na maana ya Asia.
 
CHINA WANAKUSAIDIA WAKUMALIZE. KAULIZE ZAMBIA NA SRI LANKA... AFRICA IJITEGEMEE TUACHE KUSUBIRIA WAKOLONI
 
Kwanza hii term mzungu ina apply kwa mtu wa ulaya, watu wa Marekani ambapo chanjo, sijui Arv na mengineyo yanatoka si wazungu.

Na kuna mataifa mengi ya ulaya Denmark, Norway, Sweden, Finland na Nordic countries kwa Ujumla ni wadau wa maendeleo siku Nyingi, hawaibi, wala hawana Masharti magumu kivile.

Huku kwetu Tanga, pembezoni mwa Bahari kuna Bustani zimezunguka kote, na makochi ya Cement, kila Mtu anaweza kupumzika Jioni na familia na kula Good time, jamaa wanajali sana Utu na Ubora wa maisha.

Na Tunadaiwa matrilioni ya Hela na hao wazungu na Nyengine tunasamehewa ila sijawahi kusikia wakitunyang'anya mbuga ama migodi,
Sasa mkuu unategemea nini kwa mtu anaekukopesha mara kwa mara bila kukudai?
Huoni kuna siku atataka usichoweza kumpa?
 
Back
Top Bottom