Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima. ''Vitambulisho havilazimishwi ni...
7 Reactions
223 Replies
31K Views
Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku...
22 Reactions
198 Replies
15K Views
Mnada wa Cacao wenye Catalogue no 10 ya 2021/2022 umefanyika Mkoani Mbeya Wilayani Kyela, Mwambusye Amcos mnamo tarehe 06/09/2021. Jumla ya uzito ni kg 266,980, bean count 88, slate 1.9, flate...
5 Reactions
46 Replies
11K Views
Naikumbusha tu sekretarieti mpya ya CCM kwamba Mama lishe na Wamachinga ni wadau wetu muhimu hivyo tuwaangalie kwa jicho la huruma popote walipo pasi na kwenda kinyume na sheria za nchi. Mungu ni...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
MWANAMKE AWEZA KUWA CHIFU? Taarifa kuwa Rais Samia Suluhu amepewa hadhi ya Chifu kule Mwanza zimepelekea baadhi ya watu kuhoji kama kunaweza kuwa na Chifu mwanamke. Mchango wa Askofu hapa chini...
15 Reactions
51 Replies
6K Views
Upande wa mlalamikaji ulieleza mahakama kwa ushahidi na facts kwamba mashtaka yaliyowasilishwa na Jamuhuri hayapo au hayana nguvu na msingi wa kisheria. Jaji alinaza baada ya kusikiliza pande zote...
22 Reactions
50 Replies
6K Views
Kila jambo mnalolizua wananchi wanalipuuza maana halina ushahidi wa moja kwa moja. Mnadai kila mara Tume sio huru lakini kila chaguzi zikifanyika matokeo ni kama mnaliwa kichwa na wananchi na...
1 Reactions
3 Replies
923 Views
Ukifuatilia jinsi wabunge wanvyo mjadili mtu unashindwa kuelewa hawa wawakilishi walitumwa nini huko bungeni. Swala la tozo linaumiza mwananchi Hakuna hata wa kuligusia lakini ukisikia...
25 Reactions
56 Replies
5K Views
Huyu ni kijana aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana kusambaratishwa kwa ccm huko Tunduma , alikuwa diwani wa Tunduma Mkoa wa Songwe , alishakamatwa mara kadhaa na kuachiwa kama wakamatwavyo...
13 Reactions
59 Replies
5K Views
Waswahili husema kila zama na kitabu chake, pia kila msimu na ndege wake Katika historia ya siasa zimepita Zama mbalimbali ambazo zilibeba wanasiasa mbalimbali wenye mvuto. Kwa kutaja wachache ni...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Uhaba wa walimu kimekuwa kilio kikubwa na hatimaye kimegeuka wimbo wa taifa unaoimbwa kila kukicha. Juzi kwenye taarifa ya habari tumesikia mkoa wa geita ukilalamikia ukosefu wa walimu wa masomo...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForum , Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
- Wanasema "NUMBERS DONT LIE": Katika list ya mwisho ya MAY 2020, wazi ikionyesha chama cha 10 duniani zenye wanachama kati ya mil 5 mpaka 50: lakini ikiwa ya 12 kwa jumla ya vyama vyote duniani...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wandugu. Ukifuatilia nchi nyingi utaona kuwa zina mmoja, Waziri Mkuu au Makamu wa Rais na si wote. Na nchi nyingi zenye mawaziri wakuu ni zile za kifalme, wakati Jamhuri nyingi zina Makamu...
14 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa? Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha...
27 Reactions
67 Replies
7K Views
Serikali imepata mkopo wa Trillion 1.2 kwa ajili ya kupambana na corona. Gerson Msigwa amekuwa na utaratibu mzuri sana wa kuzungumza na wanahabari karibu kila mwezi, hivyo awe anasema pia kiasi...
8 Reactions
96 Replies
9K Views
Mahakama Kuu imetupilia mbali pingamizi la awali Serikali dhidi ya maombi ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ya kibali cha kufungua shauri la kupinga tozo kwenye miamala ya simu. Hata...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama sio mwaka jana basi ni mwaka juzi katika kampeni za ubunge katika Jimbo fulani jijini Dar baada ya mbunge kuhamia CCM nilimsikia kwa masikio yangu mwenyewe bwana Saed Kubenea akisema kuna...
5 Reactions
68 Replies
11K Views
Ni vigumu sana kujua nani kanunua bidhaa zake wapi, hii ni kwa sababu Wamachinga wanauza kila kitu kinachouzwa madukani tena bila kikwazo chochote. Wamachinga wanauza nguo, simu, vifaa vya simu...
69 Reactions
85 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…