Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

guest-1787412512
Kwa maana jinsi hii... Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Haya yamesesmwa na Mzeee wa Upako Mchungaji Antony Lusekelo ktk moja ya video clip inayoenea mitandap ya kijamii kwa kasi. Amesema siasa za chuki, uhasama, kujilimbikizia madaraka na mali ni za...
13 Reactions
44 Replies
5K Views
Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+ Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+ Je, hii chanjo haisaidii?
3 Reactions
13 Replies
2K Views
#TAARIFA. KATIBU MKUU, ADO SHAIBU ATETA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE MAKAO MAKUU YA CHAMA -Katibu Mkuu wa chama, Ndugu Ado Shaibu atembelewa na uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa anawakaribisha Watanzania wote kumfuatilia kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari. Atatoa taarifa yake ya wiki hii kwenu. Tukutane saa nne kamili...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia. Nami Mightier nakuomba mno John...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na...
20 Reactions
26 Replies
3K Views
13 August 2021 Tarime, Mara Tanzania BOMOABOMOA YAINGIA TARIME, WAZEE NA WAJANE HATARINI Wakaazi washangaa kwanini TARURA wanataka kubomoa nyumba ambazo zipo ktk mji wa Tarime wakati kuna...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumemwendea sana, tena In humble way, but he can't listen, Ukimwendea kama Ulivyopanga ataanza kukuwekea visasi, Nawasilisha
6 Reactions
74 Replies
8K Views
Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe. Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia...
86 Reactions
141 Replies
12K Views
10 September 2021 IGP SIRRO AFUNGUKA KUHUSU UGAIDI, ATAJA ALIYOYAKUTA RWANDA "KIKOSI MAALUM, VYUONI, MADRASA" Baada ya Inspector General of Police (IGP) Dan Munyuza wa Rwanda kukutana na IGP...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
57 Reactions
155 Replies
60K Views
Na Thadei Ole Mushi. Mwenezi wetu wa Chama Mstaafu ameanzisha kipindi chake Cha kufundisha watu uongozi. Kwanza sijajua ANAYEFUNDISHWA hapa ni yupi ni wale waliopo kwenye Madaraka tayari au ni...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata...
5 Reactions
63 Replies
5K Views
Naam ni maelezo ya wafanyabiashara wadogo kutoka soko moja huko Mjini Arusha, Mama mmoja ameelezea tukio ilo kuwa kuna mtoza ushuru anapita kukusanya ushuru hapo sokon na wafanyabiashara...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni katika hafla iliyoandaliwa na taasisi ya Doris mollel leo jijini hapa Cc Mwananchi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za...
10 Reactions
78 Replies
8K Views
Kati Mashahidi wote waliotajwa na Jamhuri hakuna shahidi ambaye alishuhudia upekuzi nyumbani kwa watuhumiwa. Mara nyingi upekuzi unapofanyika viongozi wa serikali ya mtaa ushiriki na utumika...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…