Mnyika na CHADEMA yako msipousikiliza Ushauri wa Nyerere's Think Tank Mzee Butiku hamtofanikiwa tena na Mabalaa Kuwaandama

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia.

Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo Mzee japo ni CCM 100% ila ni Muungwana, Mwerevu, mwana Diplomasia mzuri, Mzoefu na anajua mengi ya Kisiasa na Kidemokrasia halafu hana Unafiki au Upendeleo.

Na najua mpaka leo amekuja Kuonana nawe ( nanyi ) basi ama ameshatoka pia Kuonana Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia Suluhu Hassan ( Bi. Hangaya ) au ndiyo anaenda Kuonana nae very soon ili Kuwapatanisheni.

Mpaka kuja Kuwaona amewaheshimu.
 
Akiwapatanisha litakuwa Jambo jema ila amwachie Mbowe bila masharti ndo mapatano yatafanyika kwa kuaminiana.
 
Mzee MNAFIKI tu huyo, alitangaza hadharani kutaka KATIBA MPYA ISUBIRI kwanza. Tunasubiri kitu gani kwa miaka yote hiyo?
 
Ingekuwa mfuasi wa Yesu au tume Muhammad,ingekuwa sawa.

Lakini Nyerere! Wa kawaida sana na hana hayo unayomkuza nayo yeye na chawa wake,hayuko ata kwenye orodha ya genious people.
 
Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia.

Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo Mzee japo ni CCM 100% ila ni Muungwana, Mwerevu, mwana Diplomasia mzuri, Mzoefu na anajua mengi ya Kisiasa na Kidemokrasia halafu hana Unafiki au Upendeleo.

Na najua mpaka leo amekuja Kuonana nawe ( nanyi ) basi ama ameshatoka pia Kuonana Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia Suluhu Hassan ( Bi. Hangaya ) au ndiyo anaenda Kuonana nae very soon ili Kuwapatanisheni.

Mpaka kuja Kuwaona amewaheshimu.
Kadhalika jana alianzia ACT-Wazalendo
 
Hivi haya mapenzi niue ya kuishauri Chadema kutokea CCM yameanza lini?

Kwamba CCM ghafla wana mapenzi moto moto na chadema? Mtu inabidi kujiuliza nini kina wawasha washa?

Ni nia njema tu?

Aaah wapi!
 
mnyika amekosa creativity, wale jamaa waliojimwambafy kuwa hata jiwe hawakumwogopa sikuhizi siwasikii tena, cdm inakufa kibudu. Lisu nae papara nyingi mno.
 
Zitto aliwatahadharisha mapema wakawa vichwangumu, leo zitto ni kingmaker
 
Mbona ukuandika huo ushauri ambao wameambiwa? Badala yake unasema waufute je unajua wameambiwa nini?
 
Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia.

Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo Mzee japo ni CCM 100% ila ni Muungwana, Mwerevu, mwana Diplomasia mzuri, Mzoefu na anajua mengi ya Kisiasa na Kidemokrasia halafu hana Unafiki au Upendeleo.

Na najua mpaka leo amekuja Kuonana nawe ( nanyi ) basi ama ameshatoka pia Kuonana Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia Suluhu Hassan ( Bi. Hangaya ) au ndiyo anaenda Kuonana nae very soon ili Kuwapatanisheni.

Mpaka kuja Kuwaona amewaheshimu.
Ujinga mtupu!
 
Unajua maana ya think tank au unatumia tu maneno kwa kuwa ni matamu kuyatamka?
 
Hili jamaa huwa ni chokosenge hujui walichozungumza halafu unaleta shobo huku unadhan huku kuna uyanga na usimba eti.
Yaani mwanachama WA CCM akaishauri chadema na chadema wafate walichoshauriwa ili kigundulike nn lissu alipgwa risasi ndani ya nyumba za serikali kisha CCTV camera kuondolewa Leo mbowe eti gaidi wanachma kibao WA chadema wameuawa check kifo cha Alphonse mawazo kifo kibaya kabisa aliuawa mchana kweupe per katoro buselesele. Bado unataka chadema wafate ushauri WA haya mashetani na majizi ya Taifa hili. Kweli ww ni fala-si kabisa
 
Back
Top Bottom