Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WANACHAMA na viongozi wa chama cha Wananchi CUF Zanzibar wamemtaka kiongozi wa chama hicho Prof. IBRAHIM LIPUMBA kuwaachia chama Chao ili kukinusuru na hali mbaya inayokikabili kutokana na kile...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wahenga wanasema kuwa pembe la ng'ombe halijifichi daima. Ni msemo unaoweza kuwakulisha tabia ya mh Mbowe. Pamoja na machungu anayo pambsna nayo jela lkn tazama anavo tabasamu mbele ya kadamnasi...
12 Reactions
98 Replies
5K Views
Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na post ya Mkuu wa Wilaya leo huko Instagram akijigamba kuwa wana mradi wa maji Kisarawe wenye thamani ya Billion 2 ambapo zaidi ya Billion 1 na Milion 700 tayari zishalipwa kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku. Pili, jaji Mutungi atujuze kama CHADEMA hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nianze kwa kuwasalimu wana jukwaa. Moja kwa moja kwenye mada. Kuna uvumi na tetesi za Mh. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kutembelea Mkoa wa Tabora (Tabora mjini) Yapo makatazo Mh. Rais...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna...
15 Reactions
78 Replies
9K Views
guest-1787412512
Kwa maana jinsi hii... Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Haya yamesesmwa na Mzeee wa Upako Mchungaji Antony Lusekelo ktk moja ya video clip inayoenea mitandap ya kijamii kwa kasi. Amesema siasa za chuki, uhasama, kujilimbikizia madaraka na mali ni za...
13 Reactions
44 Replies
5K Views
Tangu kuletwa kwa chanjo kipaumbele ilikuwa ni kuwapa chanjo umri 50+ Ila sasa tangu wameanza kupatiwa hiyo chanjo hao 50+ kumekuwa na ongezeko la vifo vya 50+ Je, hii chanjo haisaidii?
3 Reactions
13 Replies
2K Views
#TAARIFA. KATIBU MKUU, ADO SHAIBU ATETA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE MAKAO MAKUU YA CHAMA -Katibu Mkuu wa chama, Ndugu Ado Shaibu atembelewa na uongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa anawakaribisha Watanzania wote kumfuatilia kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari. Atatoa taarifa yake ya wiki hii kwenu. Tukutane saa nne kamili...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia. Nami Mightier nakuomba mno John...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na...
20 Reactions
26 Replies
3K Views
13 August 2021 Tarime, Mara Tanzania BOMOABOMOA YAINGIA TARIME, WAZEE NA WAJANE HATARINI Wakaazi washangaa kwanini TARURA wanataka kubomoa nyumba ambazo zipo ktk mji wa Tarime wakati kuna...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumemwendea sana, tena In humble way, but he can't listen, Ukimwendea kama Ulivyopanga ataanza kukuwekea visasi, Nawasilisha
6 Reactions
74 Replies
8K Views
Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe. Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia...
86 Reactions
141 Replies
12K Views
10 September 2021 IGP SIRRO AFUNGUKA KUHUSU UGAIDI, ATAJA ALIYOYAKUTA RWANDA "KIKOSI MAALUM, VYUONI, MADRASA" Baada ya Inspector General of Police (IGP) Dan Munyuza wa Rwanda kukutana na IGP...
1 Reactions
68 Replies
8K Views
Nilikutana naye mara ya mwisho Mbezi kwa Musuguli akaniambia Wana umoja wao unaitwa soldiers without borders na tangia hapo sijawahi kumuona wala kuwasiliana naye.Mwenye taarifa zake tafadhari...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
57 Reactions
155 Replies
60K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…