CHADEMA kweli haipokei ruzuku kutoka Serikalini?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku.

Pili, jaji Mutungi atujuze kama CHADEMA hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote wanayovunja kwa kuendelea kuwachangisha wanachama ilhali ruzuku ipo lakini wanaikataa?

Tatu, je ni halali Chadema kubandika picha ya Tundu Lisu kwenye ofisi zao hali iliyopelekea J J Mnyika naye kubandika picha yake ofisi za makao makuu?

Tukumbuke, Vyama vya siasa ni mali ya Umma.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
1. Wanachama kuchangia chama chao kwa hiari.... nihaki yao

Tunalipishwa Tozo na kodi zisizo na idadi na hii serikali yako ya ccm..... wanatuibia kwa lazima

2. Ruzuku za masimango, masharti na matusi, wabakie nazo ccm maana uovu kwao ndio maisha yao

3. Weka vifungu vya sheria ili kuipa maana mada/hoja zako.

Acha unafiki na ccm yako.
 
Ulichokuwa unakitafuta Ni hicho hapo Namba 3. Lakini kumbuka hata pale Lumumba wamebandika picha Mhe Samia akiwa amevaa green shirt. Hii Ina maana wamebandika picha ya Kiongozi wao wa chama.
 
Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku.

Pili, jaji Mutungi atujuze kama Chadema hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote wanayovunja kwa kuendelea kuwachangisha wanachama ilhali ruzuku ipo lakini wanaikataa?

Tatu, je ni halali Chadema kubandika picha ya Tundu Lisu kwenye ofisi zao hali iliyopelekea J J Mnyika naye kubandika picha yake ofisi za makao makuu?

Tukumbuke, Vyama vya siasa ni mali ya Umma.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hiyo wamekuachia ukaichukue wewe,hapo unaonaje. Bado hapa utaendelea kuwachongea kwa msajili.
 
Mbowe na chadema nawaheshimu na kujali sana wanachofanya nngekuwa tajili ningewekeza chadema sijui IPO kwenye damu sema nikipiga kura wanaiba sijui niwasaidiaje
 
Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku.

Pili, jaji Mutungi atujuze kama Chadema hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote wanayovunja kwa kuendelea kuwachangisha wanachama ilhali ruzuku ipo lakini wanaikataa?

Tatu, je ni halali Chadema kubandika picha ya Tundu Lisu kwenye ofisi zao hali iliyopelekea J J Mnyika naye kubandika picha yake ofisi za makao makuu?

Tukumbuke, Vyama vya siasa ni mali ya Umma.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Vyama vya siasa si mali ya umma, vinginevyo baadhi visingekatazwa kufanya siasa kama usajili unavyotaka. Chadema ni mali ya wanachama ndiyo sababu wanawindwa kila mahali mpaka kwenye majumba ya Ibada.
 
Naomba Msajili wa vyama vya siasa mh Jaji Mutungi atupe taarifa rasmi kama Chadema wamegoma kuchukua ruzuku.

Pili, jaji Mutungi atujuze kama Chadema hawachukui ruzuku hakuna sheria yoyote wanayovunja kwa kuendelea kuwachangisha wanachama ilhali ruzuku ipo lakini wanaikataa?

Tatu, je ni halali Chadema kubandika picha ya Tundu Lisu kwenye ofisi zao hali iliyopelekea J J Mnyika naye kubandika picha yake ofisi za makao makuu?

Tukumbuke, Vyama vya siasa ni mali ya Umma.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Nakushauri ungeutumia muda wako kumpeleka shosti wako Kokobichi akale mihogo ya kukuanga, mbona harusi yako jlichangiwa pesa japo unafanya kibarua!
 
Back
Top Bottom