Aliyekuwa Meya wa Tunduma kupitia Chadema Mh. Ally Mwafongo alikamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutengenezwa kiwandani za mauaji kabla ya uchaguzi na kuwekwa selo yeye na viongozi wengine lundo wa...
Kwa kweli mafisi hayalali,
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti
Gazeti hilo imeweka...
Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo...
Mpaka sasa vifo vya Corona hazisemwi waziwazi na mnategemea watu wataona vipi umuhimu wa chanjo kama vifo vingi vya corona, watoa taarifa wanaogopa kutangaza wazi na kuishia kusema kwa sirisiri...
Ujumbe huu ukufikie wewe Rais wangu mpendwa pamoja na DG mchapakazi wa PCCB CP Salum Hamdun. Nibkuhusu DC Wilaya ya Ikungi Ndg Edward Mpogolo kugawa madaftari yenye thamani ya million 10...
Mara kadhaa gazeti la Raia Mwema limekuwa likiandika taarifa za kiushabiki na kiuhanaharakati badala ya kusimamia misingi na weledi wa uandishi wa habari.
Nimekuwa najiuliza kama gazeti hili lina...
Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.
Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya...
Wanabodi,
Kwa kuanzia, naomba nikiri wazi, kuwa sikushtushwa na taarifa za kufungiwa magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kwa sababu I was tipped a week before kuwa "magazeti mawili makubwa...
Leo ulikuwa maeneo ya Chalinze.
Tumesimama tangu asubuhi hadi muda huu gari haziendi kisa Mwenge!
Wanafunzi wamekatishwa masomo yao wapo wamejipanga mistari hapo kushuhudia Mwenge!
Tunaanzaje...
Dar es Salaam, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote...
Kiongozi ni mtu yeyote atazamwaye na wananchi waliowengi kwa nia ya kuongozwa au kufika kule wanakotarajia na kunakotazamiwa na wananchi hao.
Kiongozi anamajukumu makubwa zaidi kuliko miiko tu...
Ni ukweli usio acha shaka sasa Gwajima anayejiita Mchungaji anapaswa kudhibitiwa kutokana na kulitumia jukwaa la Kanisa lake kuirushia Serikali makombora kuhusiana na suala zima la CHANJO...
Nahisi serikali imeona kitanzi cha gharama za chanjo ilichoingia pupa,
Ifahamike kwa nchi ya Tanzania madhara ya uviko-19 si makubwa kulingania na wenzetu duniani ,kiashiria ni mapokeo ya chanjo...
Nimejiuliza sana kuhusiana na kile kinaendelea nchini kuhusiana na suala la chanjo za korona!
Yaani kwa ufupi ni kuwa, kama CHADEMA ingekuwa kwa sasa madarakani, chanjo ya korona nchini ingekuwa...
TAREHE TEN YA MAKONDA, JUMBA BOVU LIWAPONDE MAWAZIRI JAFO NA MPANGO
1. Mambo 8 kati ya 10 ya Ilani ya CCM aliyoyataja Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Paul Makonda, Mnyika, Halima Mdee na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Paul Makonda leo atakabidhiwa Magari 18 yaliyokarabatiwa kwa ajili ya Kuimarisha Ulinzi Mkoani Dar es Salaam.
Makabidhiano hayo yatafanyika katik aViwanja vya...
Ni imani yangu wote humu tumeishi na wazee katika nyakati tofauti tofauti za maisha yetu. Wazee hawa wanaweza kuwa ni bibi au babu zetu, au wazazi wetu ambao wamezeeka/wamestaafu kazi miaka mingi...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dk Edward Hoseah amesema si kosa kwa wananchi kudai Katiba Mpya na kwamba wakati umefika kwa mamlaka za nchi kutoa mwongozo mpya wa kufikia hatima ya...
Hili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa MwanaCCM, huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.