Nampeleka RPC mkoa wa Mara Mahakamani

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Kufuatia tamko lake la juzi kuwa makomando ya katiba ni kinyume na sheria kwamba ni haramu, ninapenda kusema sasa tutakutana mahakamani ili aje kutoa kutoa tafsiri hiyo mahakamani mbele ya wanasheria pamoja na hakimu.

Hii tabia ikiachwa ikaendelea kwa viongozi wa aina ya huyu RPC kuendelea kusumbua raia ambao wanafanya shughuli zao za kikatiba atazuea vibaya.

Kama haelewi sheria tutafundishana mahakamani.

Ninaomba wanasheria makini walio tayari na wanachukizwa na kitendo cha huyu RPC waambatane na mimi kwa ajili ya hili suala.
 
Kwa hiyo wewe mwenyewe hujui sharia?. Unataka kumpeleka RPCmahakamani kwa kitu usichokijua?.

Anyways, Nimeuliza nikijua pia kwamba bila katiba hata Mama asingekuwa Rais leo.
 
Kwa hiyo wewe mwenyewe hujui sharia?. Unataka kumpeleka RPCmahakamani kwa kitu usichokijua?.

Anyways, Nimeuliza nikijua pia kwamba bila katiba hata Mama asingekuwa Rais leo.
Kitu gani hicho unachodai hakijui?
 
Kufuatia tamko lake la juzi kua makomando ya katiba ni kinyume na sheria kwamba ni haramu, ninakupenda kusema sasa tutakutana mahakamani ili aje kutoa kutoa tafsiri hiyo mahakamani mbele ya wanasheria pamoja na hakimu.
DU PROFESOR MBONA KAMA UMEKURUPUKA
 
Kwa hiyo wewe mwenyewe hujui sharia?. Unataka kumpeleka RPCmahakamani kwa kitu usichokijua?.

Anyways, Nimeuliza nikijua pia kwamba bila katiba hata Mama asingekuwa Rais leo.
Nani amekuambia bila katiba hauwezi kuwa Rais, ukiwa mwanaccm na tume ya uchafuzi ikakutangaza umeshinda kwa asilimia 95 utakataa? Kura zinaweza zikafuata baadae.
 
Back
Top Bottom