John Pambalu una kelele sana unapoongea katika Tv mpaka tunashindwa kuyapata madini yako mazuri

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kamanda John Pambalu kwani umeambiwa kuwa ukiwa unaongea tu kwa Utaratibu, Umakini huku ukiwa Umetulia hasa katika Runinga ( Television ) Sisi hatuwezi Kukusikia na Kukuelewa?

Umeambiwa moja ya Sifa Kuu ya kuwa Kamanda wa CHADEMA na upate Umaarufu wa haraka ni Kuongea kwa Hasira, Kufoka, Kubisha na Kupiga Makelele tu?

Nakukubali mno kwa Madini ya maana uliyonayo na niseme tu japo Mimi ni mwana CCM ( wala sifichi ) huwa nakukubali sana kwani uko very Knowledgeable na unajua sana kufanya Research ili uje na Facts za Kutukosoa ( Kuikosoa ) CCM na tubadilike lakini kupiga Kwako Makelele hovgo kama Mbwa wa FFU Ukonga wakiwa wana Njaa kiukweli inakuharibia.

Ni Matumaini yangu kuwa utabadilika.
 
Una chuki binafsi????
Kumwambia Mtu Ukweli ili abadilike na awe na Ufanisi ndiyo Kumchukia? Ningemchukia Kamanda John Pambalu ningesema hapo juu kuwa ninamkubali mno kwa Madini yake na jinsi alivyo Mwerevu na mwenye Maarifa mengi?
 
Kumwambia Mtu Ukweli ili abadilike na awe na Ufanisi ndiyo Kumchukia? Ningemchukia Kamanda John Pambalu ningesema hapo juu kuwa ninamkubali mno kwa Madini yake na jinsi alivyo Mwerevu na mwenye Maarifa mengi?
Ni abiria fala atakaepanda daladala yenye mziki mnene anataka dareva apunguze sauti bila kuwaza wengine wanafurahia iyo sauti
 
Back
Top Bottom