CHADEMA tusimpe vitisho Jaji Luvanda, mpaka sasa hajapendelea pande yoyote. Kibatala na jopo lake walichemka

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Paragraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa ya ugaidi.

Kibatala alikurupuka kuweka pingamizi ambazo hazina mashiko ya kisheria kudai kuwa division ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi haina mamlaka.

Kueneza maneno kuwa Jaji Luvanda ni mwamuzi wa kimkakati ili kufanya kazi maalumu sio jambo jema na sio ustaarabu. Maana kila kitu kipo wazi kisheria.

Tuache mahakama itende haki.
 
Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifanikiwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
 
Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.

Unaumiza moyo wangu.
 
Mainathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.

Naona mapunga mmeanzisha mada mnajijibu wenyewe, na mabasha tuko tunawaangalia tu. Tutafuteni kesho tuwapatie cha asubuhi hata kama kimoja hakitatosha.
 
Mainathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.

Naona mapunga mmeanzisha mada mnajijibu wenyewe, na mabasha tuko tunawaangalia tu. Tutafuteni kesho tuwapatie cha asubuhi hata kama kimoja hakitatos
We jamaa una matatizo ya kuwashwa makalio?
 
Paragraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa ya ugaidi.

Kibatala alikurupuka kuweka pingamizi ambazo hazina mashiko ya kisheria kudai kuwa division ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi haina mamlaka.

Kueneza maneno kuwa Jaji Luvanda ni mwamuzi wa kimkakati ili kufanya kazi maalumu sio jambo jema na sio ustaarabu. Maana kila kitu kipo wazi kisheria.

Tuache mahakama itende haki.
☺☺☺
 
Sijaona kitisho chochote humo zaidi ya kumulikwa kwa maamuzi aliyoyafanya na atakayofanya na zaidi sijaona Chadema kama Chama ila ni uchambuzi wa mtu mmoja
 
Huyu mchambuzi ni kada maarufu sana na role model wa wafuasi wa Chadema.
 
Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
Hza alikuwa CDM kimoyomoyo!
 
Paragraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa ya ugaidi.

Kibatala alikurupuka kuweka pingamizi ambazo hazina mashiko ya kisheria kudai kuwa division ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi haina mamlaka.

Kueneza maneno kuwa Jaji Luvanda ni mwamuzi wa kimkakati ili kufanya kazi maalumu sio jambo jema na sio ustaarabu. Maana kila kitu kipo wazi kisheria.

Tuache mahakama itende haki.
Siamini kama utaeleweka pamoja na maelezo makini
 
Back
Top Bottom